Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

Hao wamekutana pipa na mfuniko.
 
Halafu cha kushangaza, hao mashosti ambao wameolewa ndio wanaotokaga na waume wa mashosti zao
 
Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti!

Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
Lazima mmbo yabadirike maana kwa kuwaza haraka haraka ameingia Hatua nyingine ya majukumu hivyo huna utachomshauri maana wew unakua bado hujaoa hivyo lazima a focus kwa wenzie walio oa ili kupata experience zaidi kuhusiana na mmbo ya ndoa
 
Jamal huwa anajua mke wake miyeyusho. Ameshawahi kuniomba radhi, akaniambia mwanangu mvumilie tu shemeji yako ndivyo alivyo.
Uzuri yule shem psychology yake ya hovyo mi nilishainyaka tangu wapo uchumba.
 
Umepata uhakika gani kwamba mkewe sio?
Nayafahamu mahusiano yao kabla hawajafunga ndoa. Japo mkewe alikua mkoani all the time. Nami nishaishi nao sana tu (interaction).
Kuna siku shem alizingua nikiwa kwao ambapo jamaa tulipanga tukutane kwake.
Ukweli ni kwamba nilimind na mood ikakata. Nkatoka nje, nikamwita mwamba nikamwambia kaa kushoto tukaongee bar. Akanizuia nisiwashe chombo ikabidi tukae kibarazani tuongee hapo sikurudi ndani.

Unajua kisa nn? Anammaind Jamal kipindi kile cha korona kuleta mgeni. Yaani sijui aliona mi nna korona tayari.
 
U
Jamal huwa anajua mke wake miyeyusho. Ameshawahi kuniomba radhi, akaniambia mwanangu mvumilie tu shemeji yako ndivyo alivyo.
Uzuri yule shem psychology yake ya hovyo mi nilishainyaka tangu wapo uchumba.
naona mkuu wanakujaga na ratiba zao sometime zinaharibu mipango, me nashangaa mbona sisi wanawake zetu wako very humble, anyways kila mtu abebe zigo lake
 
Lazima mmbo yabadirike maana kwa kuwaza haraka haraka ameingia Hatua nyingine ya majukumu hivyo huna utachomshauri maana wew unakua bado hujaoa hivyo lazima a focus kwa wenzie walio oa ili kupata experience zaidi kuhusiana na mmbo ya ndoa
Kuoa sio kigezo, kwani yeye anashughulika na ndoa all the time?
mimi kutokuwa kwenye ndoa inamaanisha sijui kitu kuhusu ndoa?

Si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…