Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Inategemea,nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa chuo tulikuwa na tabia ya kuulizana hapo chuoni kwenu demu yupi ni mkali,baada ya hapo unapewa namba na kujipanga kwa ajili ya kukutana pamoja na mambo mengine.
 
Ni kweli ana kwa ana hata Mimi siwezi.

Ila wote tukiwa mbalimbali ndio naweza
Kuna binti mmoja nyumba yao na yangu zimekaribiana,

Basi nikianza kumwaga mchele,
Naanza mwajuma una nywele nzuri,
Sura yako Kama malaika,
Ukweli Ni kwamba mwenzio mi nah,nakuuh, nakunaniliih, hhhm oho,oho, ohooh hhhhm

Yeye:mbona hivyo Tony ulitaka kusema nini??☺️🙂

Mimi:nilitaka kusema kwamba Moyo wangu unaazima penceli Kuna picha nataka kuandika, eti kuandi,kuchora,
Nnananah nataka kuchora kwenye picha😁😁

Nikishafika mbali naanza
Mwajumaaaaaah
Yeye:beeeeeeh
Mimi:mwenzioooh Moyo wangu umeangukia kwakoooh,tafadhali naomba upokeeeeeeh😃
Yeye:tutaongea keshooooo

Kesho ilifika tukakutana uso kwa uso, kilitokea kilekile nilichofanya Jana.
 
Wakuu Habari,,

Nimejikuta nikipata bahati ya kuzoeana na mwanamke na kuwa kama rafiki yangu wa kawaida Ila baada ya Muda mfupi najikuta nantongoza na hali nimekuwa siipendi maana mara nyingi nimejikuta nikipoteza marafiki wa kike japo wao ndio unitengenezea mazingira na kujiona mjinga kama sitamtongoza Msaada wakuu nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…