Ni kweli ana kwa ana hata Mimi siwezi.
Ila wote tukiwa mbalimbali ndio naweza
Kuna binti mmoja nyumba yao na yangu zimekaribiana,
Basi nikianza kumwaga mchele,
Naanza mwajuma una nywele nzuri,
Sura yako Kama malaika,
Ukweli Ni kwamba mwenzio mi nah,nakuuh, nakunaniliih, hhhm oho,oho, ohooh hhhhm
Yeye:mbona hivyo Tony ulitaka kusema nini??☺️🙂
Mimi:nilitaka kusema kwamba Moyo wangu unaazima penceli Kuna picha nataka kuandika, eti kuandi,kuchora,
Nnananah nataka kuchora kwenye picha😁😁
Nikishafika mbali naanza
Mwajumaaaaaah
Yeye:beeeeeeh
Mimi:mwenzioooh Moyo wangu umeangukia kwakoooh,tafadhali naomba upokeeeeeeh😃
Yeye:tutaongea keshooooo
Kesho ilifika tukakutana uso kwa uso, kilitokea kilekile nilichofanya Jana.