God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Kajifunze kuandika urudi hapaa.Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,..kiukweli tokea baleh inikute,nmekua na mahusiano ya kimapenz na dada zetu hawa,ila mahusiano haya yote hua yanaanzaga tuu frm nowea,mwisho najikuta nimeclick na dem, etc,..ila sijawai tongoza,ile ya soundi za nakupenda,nataka uwe dem wangu etc,stuffs like that..hua baada ya kufahamiana ,dinner mbili 3,then tunavunja amri ya 6.sasa hali hii imenifanya niwe domo zege indirectly,maana kuna mdada nipo nae ila ame demand nimtongoze,meaning she wants to hear me sayin em words n nakupenda,.sasa ilikua mtihan,na sio kwamba simpend.
Kutamka hilo neno nakupenda ni ishu kwangu,ntabak nakenua meno tu...na sio kwamba hua siwapendSasa unaogopa nini kufunguka mkuu
Hahaha,exactlyusiseme ujawahi tongoza!! kupanga miadi na dinna ni utongozaji pia
sema ujawahi kumwambia mwanamke nakupenda sio kutongoza
Jifunze mkuu utazoeaKutamka hilo neno nakupenda ni ishu kwangu,ntabak nakenua meno tu...na sio kwamba hua siwapend
Af magic nyingne sasa,..hua sihongi kihivyo sasaUtakuwa unahonga sana unafikiri hizo lunch 3 si kutongoza. ...
Endelea kujua kuwa kuhonga si kutongoza, fainali uzeeni.
Hahaha,[emoji106]Mzee hizo dinner tayr umetongoza..na ukiweza kuoiga mashine kwa njia yoyote basi ume meet target yako..
Unatisha, huenda ukawa ghost wa jfSasa unaogopa nini kufunguka mkuu
Dude,i have ever been wit a girl for 3yrs,n mwingne 4yrs,na nilikua nawapenda kinoma,yan ile kupenda ya had kuvuka border,kumfata mtu mkoa etc,but i neva tell em hzo mambo pindi napoanza nao,inatokea tunakua tuuSema hujawah kupenda, ungependa mtu toka moyon ungesema hayo yote, sema kwakua unaokutana nao ni dada poa wa kupigwa dinner tu na kula mzigo basi hutatongoza, siku ukiwa serious kuanzisha strong r/ship kwa stong/matured woman utajikuta umeshatamka kila hila ya utongozaj chin ya jua. Kwa sasa endelea na hizo hit n run bt kumbuka wakti ni ukuta n wat goes around comes around
Kutamka hilo neno live live hua ni mtihan,i cant look her uson kabsaaKutongoza sio lazima umwambie nakupenda
AwkayKajifunze kuandika urudi hapaa.
Tatzo anajifanya mzungu sanaHuyo nae anaeomba kutongozwa ni shida
What does towashi even mean.[emoji23][emoji23],umeniacha hapo kidogo,n i dont wnt to check it kwnye dictionaryUNA NDOTO ZA KUWA TOWASHI MKUU
Ahahahahausiseme ujawahi tongoza!! kupanga miadi na dinna ni utongozaji pia
sema ujawahi kumwambia mwanamke nakupenda sio kutongoza