Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza,..kiukweli tokea baleh inikute,nmekua na mahusiano ya kimapenz na dada zetu hawa,ila mahusiano haya yote hua yanaanzaga tuu frm nowea,mwisho najikuta nimeclick na dem, etc,..ila sijawai tongoza,ile ya soundi za nakupenda,nataka uwe dem wangu etc,stuffs like that..hua baada ya kufahamiana ,dinner mbili 3,then tunavunja amri ya 6.sasa hali hii imenifanya niwe domo zege indirectly,maana kuna mdada nipo nae ila ame demand nimtongoze,meaning she wants to hear me sayin em words n nakupenda,.sasa ilikua mtihan,na sio kwamba simpend.
Kajifunze kuandika urudi hapaa.
 
Sema hujawah kupenda, ungependa mtu toka moyon ungesema hayo yote, sema kwakua unaokutana nao ni dada poa wa kupigwa dinner tu na kula mzigo basi hutatongoza, siku ukiwa serious kuanzisha strong r/ship kwa stong/matured woman utajikuta umeshatamka kila hila ya utongozaj chin ya jua. Kwa sasa endelea na hizo hit n run bt kumbuka wakti ni ukuta n wat goes around comes around
Dude,i have ever been wit a girl for 3yrs,n mwingne 4yrs,na nilikua nawapenda kinoma,yan ile kupenda ya had kuvuka border,kumfata mtu mkoa etc,but i neva tell em hzo mambo pindi napoanza nao,inatokea tunakua tuu
 
Wewe sasa unataka ukamtongoze vipi?

Tatizo wakuu tunawaza sana fix za kuwapiga mademu.

Go straight with confidence..! Hit the point..

"I love you"...

Utaona anajilamba lips tuu..
 
Kutongoza kuna njia nyingi wewe mwenyewe usha apply moja wapo ko futa tu heading andika ni domo zege wa kusema neno nakupenda
 
Back
Top Bottom