Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

ebu twambie ulipo lala maana so kwa ujiniazi huu ka wa dkt shika
 
kaka unapima ladha ya maneno kwa mwanamkee au nguvu ya maneno yako kwake? kwa taarfa yako sio wanao kukubalia wana nia ya kua na wewe ,wwngne its yes to plz the fool,wengine wana kubali kwa mda ule tu wakifka makwao awajui nini ulo ongea,na ndo maana mwanamke anaweza kukupa nambaya yake ya cmu ukampigia asipokee mkuu,na hofia kuarbu mda wako bure kwa kujidanganya kumbe wao wana kuchukulia kama comedian
 
hahah true say
 
Mimi hiyo siiiti kutingoza, naita kuongea na watu vizuri...

Ukiwa mcheshi na ukaongea na watu vizuri, haswa wanawake, wengine wanadhani labda unawatongoza kumbe hapana...

cc: mahondaw
 
Ngoja siku ukumbane na ving'ang'anizi ndio utakapokuwa mwisho wa hiyo unayoiona raha.

Yaani unamtongoza , anakubali halafu anakung'an'ania huku ulikuwa unajaribu tu mbona utakoma.
 
Huo muda unaoutumia kutongoza ungekuwa unautumia kusoma vitabu ungekuwa na IQ kubwa sana yaani ungekuwa unatuletea uzi wenye mada zitakazotujenga na sio hizi za kijing..
 
kaka unapima ladha ya maneno kwa mwanamkee au nguvu ya maneno yako kwake? kwa taarfa yako sio wanao kukubalia wana nia ya kua na wewe ,wwngne its yes to plz the fool,wengine wana kubali kwa mda ule tu wakifka makwao awajui nini ulo ongea,na ndo maana mwanamke anaweza kukupa nambaya yake ya cmu ukampigia asipokee mkuu,na hofia kuarbu mda wako bure kwa kujidanganya kumbe wao wana kuchukulia kama comedian
Nimepiga mstari na kubadili rangi kwa msisitizo!!!
 
Habari wana jamii.
Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya kukataliwa au kushindwa katika maisha.

Jambo la pili na kubwa zaidi ni kwamba kutongoza ni sehemu ya kutimiza majukumu yako kama mwanaume. Huna haja ya kuhofu kutimiza majukumu yako hata kama utakosea.

Ukizaliwa tu mwanaume, kutongoza ni sehemu ya majukumu yako makuu kwenye Job Discription(JD) yako.

Tongoza kila mwanamke unaedhani au kuona unaweza kutongoza, tongoza kadri uwezavyo au upendavyo, usihofu kukataliwa, hofu kutokutongoza ila sio kukataliwa. Jisikie mwenye hatia kutokutimiza wajibu wako kuliko kujisikia hofu ya kukataliwa katika kutimiza wajibu wako.

Jifunze hata kwa ndege na wanyama, jogoo hutongoza kila tetea anaemuona bila kujali atafanikiwa au la, akifanikiwa hewala, akikosa alikua anafanya mazoezi ya kukimbia na kuweka mwili sawa.

Lakini pia usiogope kutongoza mwanamke mzuri kwa kuhofu kua lazima atakua na mume/mpenzi, wewe tongoza, sio kila mwanamke mzuri basi ana mume, wengi hua ni vacancy, ukijaribu unaweza kufill hiyo nafasi. Tongoza mahala popote u apojisikia au kuona kuna mtu unaweza kumtongoza na muda wowote.

Ni ushauri tu na kukumbushana majukumu.
 
Back
Top Bottom