Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

me mwanamke ambaye nakaa naye mbali ni yule anayefuatilia documentary za serial killers
Inawezekana akawa ameona una viashiria vya serial killers kwa hiyo anajifunza kujiweka salama kabla hayajamkuta.
 
I love smart people wanakufanya ufikirie pia sio wanaopokea tu,ukimuachia laki unakuta ameizalisha au amefanya kitu mpk mwenyewe unajiuliza hapa nimepata mtu,smart women hutaona shida kumuachia hela ya maana kwakua unajua ipo mikono salama wkt ww unatafuta nyingine,na hata akitumia hutaona tabu,I love such kind of people
Wengi walio oa magoi goi bahati mbaya akifa , akaacha hata mali , ukute nae ana ndugu wa ovyo mke ana malizwa kila kitu watoto na yeye wanabaki kutangatanga tu🤔
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Upo sahihi kiasi fulani.
 
Hakuna popote niliposema mtu awe continuously, unnecessarily and relentlessly challended by his wife.

In fact, mwanamke mwenye akili ni yule anayejua ku challenge just right bila ya kuwa ana challenge continuously, unnecessarily and relentlessly.

Kwa hivyo, ukitaka mwanamke asiye na akili ndiyo unataka huyo anaye challenge continuously, unnecessarily and relentlessly.

This is a logical fallacy.

A stawman argument logical fallacy.

You are adding something I did not say, and then you are attacking that which you added yourself.
That's true. You never mentioned it, I gathered from his definition of "mwanamke mwenye akili" being challenging by nature, something he is not willing to deal with - from which you concluded anayaogopa maisha.

Hell. There is no manual for life. Inakuwaje useme anayaogopa maisha?
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Wewe ina wezekana umekutana na jasusi la kirusi.
 
Plus kisirani kidogo nyumba isipoe
 
Tofauti ya mwanaume na mwanamke ni kwenye utendaji
Sasa kama vitu ambavyo unatakiwa kufanya wewe mwanamke anafanya why yeye asiwe mwanaume tu?
Labda kama kwenye hiyo ndoa wanabeba matofali au wanachomba madini, utofauti wa utendaji wa mwanume na mwanamke ni kwenye kazi zinazohitaji kutumia misuli zaidi na namna ya kufanya maamuzi ya mambo.
 
That's true. You never mentioned it, I gathered from his definition of "mwanamke mwenye akili" being challenging by nature, something he is not willing to deal with - from which you concluded anayaogopa maisha.

Hell. There is no manual for life. Inakuwaje useme anayaogopa maisha?
Anayaogopa maisha kwa sababu ana narrow mindset ya kuona mwanamke mwenye akili ni yule anaye challenge relentlessly, unnecessarily, continuosly wakati huyo ni mwanamke asiye na akili.

Akipqnua mindset yake anaweza kuona kuna mambo alikuwa anayaogopa bure tu.
 
Kunatofauti kati ya mwanamke na mwanaume kila mmoja ana hulka zake

Hapa tatizo sio AKILI KUBWA bali ni mwanamke kutokua na hulka za kike na kuwa na hulka za kiume
Ni nadra sana kukuta wanawake wamekaa wenyewe wanajadili vita vya Gaza au Ukraine au wanajadili teknolojia mpya ya screen za tv au simu..... lakini haya ndio mazungumzo ya wanaume

Nyoka akiingia ndani ya nyumba ni hulka ya mwanaume kushughulika naye wakati mke na watoto wanakimbilia sehemu salama..... sio kwasababu mwanamke hawezi

Sema nivile mambo ya usawa wa kijinsia yamekuja kuvuruga kabisa huo utaratibu

Sasa kama wanawake wanasema hawajaolewa kukufulia au kukupikia unadhani wataelewa ulichoandika hapa mkuu
Hawa ndio wale wanasema mimi nikitoka out na wenzangu nampa taarifa mmewa wangu na sio kumuomba ruhusa au kumuaga

Wapo wanawake wana akili kweli kweli lakini bado wana hulka za kike
Na kuna wanawake hawana akili lakini lina hulka za kiume...... unakuta kazungukwa na wanaume wanabishana simba ya ngapa hadi ushangaa, simu anajua hadi ku root afiche mafile, social media zote anazo na maparody kibao
Just imagine kila siku yeye ndio anatoa style mpya kunako 6x6 😂😂😂😂
Angalau nahisi umewekewa.
Naona kuna miamba 2 wanabishana habari ya kuwa na akili au kutokuwa na akili.
Kuna tofauti kubwa baina ya kuwa na akili na ujuaji, uanamke na uanaume.
Mwanamke anapaswa kuwa na feminine traits kwa wingi.
Women should be women, men should be men!
 
Back
Top Bottom