Mwanaume wa bongo anapata faida gani kufuatilia vita vya Ukraine??Mwanamke napaswa kushika kwenye uanamke wake hata kama amelolewa na mwanajeshi. Sio kwamba kuna shida mwanamke kufuatilia vita vya Ukraine ila HAKUNA FAIDA YOYOTE atakayoipata kwa kufuatilia vita vya Ukraine.
Ndo bomu nlilonalo ndani hiloKuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.
Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.
Mwanamke anajua kuhack sms/calls.
Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.
Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.
Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.
Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.
Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.
"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
Sio kweli, wanawake vilaza na wanawake wanaoolewa kuwa wamama wa nyumbani zaidi ndio huwa hawafuatilii habari. Wazee wetu walikuwa wanaoa wanawake wa kukaa nyumbani tu na walikuwa hawapeleki watoto wa kike shule, sasa hivi mambo yamebadilika kabisa.Kufuatilia habari ni sifa za mwanaume ndio maana ata wazee wetu enzi zao akifika ndani anakuja mama anafatilia tamthilia yeye anawek ITV au BBC.
Mkuu,Mm wangu ananimbia hawezi ni nyonya dushe langu ndio chanzo cha kanzaa Nimeshindwa kbsa kumshawishi had sas nitoke nnje nikapate hyo huduma, nataka nitafute padri atutudishe kwenye somo la ndoa na jins ya kupeana na mpenzi wako
Hamtaki utani mama?Vibaya hivyo mshua
Mtoa mada anapenda kudanganya itakuwa😂 wajanja watampiga nokoutMwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂
😂Umenigusa pabaya😅😆Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden files kwenye simu ya mume wake😂😂😂😂anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.😂😂
Yapi maoni yako kijana wa zaman je wa kumoyo ana akili zipi🤣🤣🤣Hamtaki utani mama?
KimeumanaNgoja nitafute hizo akili za kitoto, kumbe naboa na sijui.
Sasa wewe ukidate na mtoa maada atakuona mjuaji 😀 kumbe casual tuNimecheka kuona huu uzi wako. Dah kila mtu anapenda tabia aina ya mwanamke aipendayo.
Najiona mimi vita vyote, nafatilia. Taarifa karibu zote za kidunia inavyoenda, mpira napenda toka mdogo. Muziki ndiyo usiseme, shida siangalii tamthilia.
Bibi yako anafahamu wapi ,muda gani atumie akili za aina gani ..Yapi maoni yako kijana wa zaman je wa kumoyo ana akili zipi🤣🤣🤣
Soma hiyo muraKwamba na mimi ni mwanamke mkuu?😂😂😂
Hakuna shidaSoma hiyo mura
Akupe na Yas piaKuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.
Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.
Mwanamke anajua kuhack sms/calls.
Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.
Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.
Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.
Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.
Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.
"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
Anajua vyote hivyo na baada ya hapo unamwambia vua gaguro lako ili nikumwagilie maji ya uzima na yeye anatii bila ajizi wala msiguano sijui hujaniandaa na maluwekuwe yake. Huyo ndio poa…Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂