Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Mwanamke napaswa kushika kwenye uanamke wake hata kama amelolewa na mwanajeshi. Sio kwamba kuna shida mwanamke kufuatilia vita vya Ukraine ila HAKUNA FAIDA YOYOTE atakayoipata kwa kufuatilia vita vya Ukraine.
Mwanaume wa bongo anapata faida gani kufuatilia vita vya Ukraine??
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Ndo bomu nlilonalo ndani hilo
 
Kufuatilia habari ni sifa za mwanaume ndio maana ata wazee wetu enzi zao akifika ndani anakuja mama anafatilia tamthilia yeye anawek ITV au BBC.
Sio kweli, wanawake vilaza na wanawake wanaoolewa kuwa wamama wa nyumbani zaidi ndio huwa hawafuatilii habari. Wazee wetu walikuwa wanaoa wanawake wa kukaa nyumbani tu na walikuwa hawapeleki watoto wa kike shule, sasa hivi mambo yamebadilika kabisa.
 
Mm wangu ananimbia hawezi ni nyonya dushe langu ndio chanzo cha kanzaa Nimeshindwa kbsa kumshawishi had sas nitoke nnje nikapate hyo huduma, nataka nitafute padri atutudishe kwenye somo la ndoa na jins ya kupeana na mpenzi wako
Mkuu,

Utaenda kushtaki kwa padri huyu mke wangu hataki kunyonya dushe langu? 🤣🤣🤣
 
Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden files kwenye simu ya mume wake😂😂😂😂anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.😂😂
😂Umenigusa pabaya😅😆
 
Nimecheka kuona huu uzi wako. Dah kila mtu anapenda tabia aina ya mwanamke aipendayo.
Najiona mimi vita vyote, nafatilia. Taarifa karibu zote za kidunia inavyoenda, mpira napenda toka mdogo. Muziki ndiyo usiseme, shida siangalii tamthilia.
 
Sasa wewe ukidate na mtoa maada atakuona mjuaji 😀 kumbe casual tu
 
Yapi maoni yako kijana wa zaman je wa kumoyo ana akili zipi🤣🤣🤣
Bibi yako anafahamu wapi ,muda gani atumie akili za aina gani ..

Haonyeshi elimu wala cheo hapa analeta utoto tu. . . . Anataka baadae jioni nikirudi nikampige busu la makalio kwa kosa la . . . . .
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?
Akupe na Yas pia
 
Ukiwa na mwanamke wa aina hiyo kwanza kabisa lazima emotional intelligence yako iwe ya kiwango cha juu kumzidi yeye. Lazima kama mwanaume uwe mbele ya muda kwenye vitu vingi.
 
Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔

Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂
Anajua vyote hivyo na baada ya hapo unamwambia vua gaguro lako ili nikumwagilie maji ya uzima na yeye anatii bila ajizi wala msiguano sijui hujaniandaa na maluwekuwe yake. Huyo ndio poa…
 
Back
Top Bottom