Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hii kamba mkuu umetudanganyaAnamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.
Kuna wale wajuaji by birth yani hata kitu akijui atachangia hata akitoa boko anaona ni sawa.Oa la saba B, hawana mambo mengi
Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazoπ€π€π€
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kituπ
π€£Unanikumbusha mie wa kwangu juzi nimemkuta anasoma baadhi ya taarifa kwenye website ya CIA nilichoka mimi
Acha na huyo kuna mmoja hata kusoma ni tabu, akikuandikia sms huelewi ni spacing, halafu ni pisi ya kwendaKuna wale wajuaji by birth yani hata kitu akijui atachangia hata akitoa boko anaona ni sawa.
Kuna mdada yeye hata kuupdate whatsapp hajui mambo mengi huwa anaomba nimsaidie.
Sasa hizo ndio pisi za uhakika sasa, ukiwa nae kama wewe ni form 4 anakuona una maakili mengi.Acha na huyo kuna mmoja hata kusoma ni tabu, akikuandikia sms huelewi ni spacing, halafu ni pisi ya kwenda
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πMi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana
tatizo ni huo ujuaji sasaSasa hizo ndio pisi za uhakika sasa, ukiwa nae kama wewe ni form 4 anakuona una maakili mengi.
yule wa kuweka viatu kwa friji, wa kula maboga hivi wapo kweli???Yaani Yule Zubeda wa professor Jay ndiye mke ambaye mtoa mada Dr Jeremiahs anamtaka japokuwa baada ya kuzoe jiji aliharbiaka.
Ukiwatafuta utawapata mkuu.yule wa kuweka viatu kwa friji, wa kula maboga hivi wapo kweli???
Tatizo siyo kuongozwa na mwanamke, inaongozwaje ndio Tatizo lilipoMkuu,
Unajua mpaka nchi inaongozwa na mwanamke?
Rais wa Mexico anaiongoza poa anapigana vikumbo na Trump sasa hivi.Tatizo siyo kuongozwa na mwanamke, inaongozwaje ndio Tatizo lilipo
ERoni kumbe ana undugu na billionaire ππtunataka mke awe na akili za Eron musk
[emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden files kwenye simu ya mume wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.[emoji23][emoji23]
Jambo la ajabu sana.Mkuu,
Utaenda kushtaki kwa padri huyu mke wangu hataki kunyonya dushe langu? π€£π€£π€£