Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔

Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂

Kazunguka sana ila kiufupi anahitaji mwanamke submissive maana wengi wenye uelewa hupenda reasoning kwa hiyo inakuwa challenge kwa wengi ambao wanataka mwanamke atimize matakwa yake bila kuwa questioned..
 
Kuna wale wajuaji by birth yani hata kitu akijui atachangia hata akitoa boko anaona ni sawa.

Kuna mdada yeye hata kuupdate whatsapp hajui mambo mengi huwa anaomba nimsaidie.
Acha na huyo kuna mmoja hata kusoma ni tabu, akikuandikia sms huelewi ni spacing, halafu ni pisi ya kwenda
 
Tatizo siyo kuongozwa na mwanamke, inaongozwaje ndio Tatizo lilipo
Rais wa Mexico anaiongoza poa anapigana vikumbo na Trump sasa hivi.

Unajua rais wa Mexico nani?

Au ulifikiri namuongelea Samia tu?
 
Unakuta mwanamke anajua hadi kupekenyua hadi hidden files kwenye simu ya mume wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anajua hadi kwenda kutafuta picha zilizofutwa huko kwenye bin anazirudisha.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom