Rais wa mexico si bi9dada anaitwa Claudia shanbaumRais wa Mexico anaiongoza poa anapigana vikumbo na Trump sasa hivi.
Unajua rais wa Mexico nani?
Au ulifikiri namuongelea Samia tu?
Sasa hapo vipi?Rais wa mexico si bi9dada anaitwa Claudia shanbaum
Sasa hapo vipi?Rais wa mexico si bi9dada anaitwa Claudia shanbaum
kabisahuyu mtoa mada anachanganya huyo utoto ndo mapenzi yenyewe sometimes, normally mwanamke anafanya utoto au wengine wanaita kujibebisha akiwa na mtu anae mpenda tu, sio kwa kila mtu
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.
Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.
Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.
Mwanamke anajua kuhack sms/calls.
Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.
Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.
Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.
Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.
Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.
"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.
Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.
Kwako msomaji nini maoni yako?
π€£π€£π€£π€£π€£....kudadekiMi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana
Majukwaa yote kivipi? Sijawahi kuchangia kwenye ujenzi, stories of change, historia, magari n.kUkweli usemwe tu,sasa kama Nifah ,Bantu Lady ,Evelyn Salt n.k majukwaa yote wamo,humo ndani sijui kutakuwaje!
Ndani ni jehanam bro πΉUkweli usemwe tu,sasa kama Nifah ,Bantu Lady ,Evelyn Salt n.k majukwaa yote wamo,humo ndani sijui kutakuwaje!
Kuna huyu wangu yeye anajua Chato ni nchiMi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana
Nimecheka enzo1988 sisi ndiyo wanatuita wajuaji π π π π π hawajui kila sehemu, inahitaji kitu chake.Ukweli usemwe tu,sasa kama Nifah ,Bantu Lady ,Evelyn Salt n.k majukwaa yote wamo,humo ndani sijui kutakuwaje!
Bro huko mpakani mwa Syria huko umesikia yanayojiri?Nimecheka enzo1988 sisi ndiyo wanatuita wajuaji π π π π π hawajui kila sehemu, inahitaji kitu chake.
Kwenye kujifunza na kujua vitu tumo, kwenye mapenzi tunayajua na kudeka juu π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ kwenye mpira tumo.
Sasa wanataka hao wasiojua lolote, wanaongea nini? Au wanaishia kusalimiana na kujigjig tu πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ