Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Rais wa Mexico anaiongoza poa anapigana vikumbo na Trump sasa hivi.

Unajua rais wa Mexico nani?

Au ulifikiri namuongelea Samia tu?
Rais wa mexico si bi9dada anaitwa Claudia shanbaum
 
Mwanamke awe na akili za kitoto?! Wakati wanaume ndo matoto! Ona unavolilia papu a new chi
 
Mimi kuna bidada moja anatafuta 40 years ebwana akiniona tu anajishaua kama kabinti full kunibinulia midomo kama kabinti ameolewa ila alinipendaga sana aliwahi kuniambia wakati nasoma tupange chumba na ana mzigo mkubwa kinoma kifupi umbo namba nane,kila akiniona tu anatepeta mpaka sasa
 
Huyu niliyenaye sasa mpira ndo kitu hakijuagi kabisa... Kila mechi ikiwa inacheza anajua ni simba na yanga! Hata km ni wazungu watupu... Na timu yoyote itakayofungwa basi hiyo timu inakuwa ni Yanga na nitazomewa balaa, mpaka natamanigi kumuwamba makofi.

Mambo mengine anajitahidi kiasi chake japo sio mfuatiliaji kivileee
 
Nilipata mwanamke mnyenyekevu kuliko kawaida,nikamkimbia...sijazoea hivo,nataka mikikimikiki,nyumba inachangamka...
 
Ololo yayeeee nimekosa mume Kama ni hivyo, maana najua Hadi historia ya Jonas Savimbi, nashabikia
SIMBA
PSG
BARYEN
BARCELONA

siasa nipo chama çha hashim rungwe nayo nisababu napenda wali
 
Anhaaa hutampata wa hivyo siku hizi teknolojia imefanya wajue kila kitu
Mdada anakupangia kikosi cha Barcelona, Chelsea na Man u
Anakusimulia historia ya Marekani yote.
Anajua umbea wa mastaaa wa bongo na wa marekani
 
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.

Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya Ukraine A-Z.

Anamjua Putin inside out na uwezo wake wa kivita.

Mke anajua kusoma mpaka deleted messages za WhatsApp.

Mwanamke anajua kuhack sms/calls.

Mwanamke anajua kudownload mods Apps kama Gb whatsapp kuinstall na kuupata.

Mwanamke anajua kufungua facebook acc tatu.

Anajua kufungua magroup ya WhatsApp.

Mwanamke anajuankuhide app kwenye simu yake.

Mwanamke anapaswa kuwa nautoto utoto kiasi, awe mshamba kiasi mpka. Asiwe mjuaji sana wala mshamba kupita kiasi.

"A FEMALE MUST POSSES FEMINE HABITS"
Wewe kama mume uwe ndio AKILI ya familia.

Juu ya yote kiasi kwa kila jambo ni suala la msingi zaidi.

Kwako msomaji nini maoni yako?

Shida yenu hamjui mtu mwenye akili ni nani. Lazima upate mwanamke mwenye akili sababu atajua mipaka yake na kujiepusha na makosa na hapo ndipo furaha ilipo.

Kusema ya kuwa mwanamke anaye fatilia hayo mambo kwa vigezo vyako kwamba kuwa ana akili, aisee huijui akili ni nini. Huyo mwanamke hana akili kwa maana sahihi ya akili, sababu anapoteza muda wake na umri wake katika mambo ya hovyo na yasiyo kuwa na faida, kwa ufupi hajitambui.
 
Ukweli usemwe tu,sasa kama Nifah ,Bantu Lady ,Evelyn Salt n.k majukwaa yote wamo,humo ndani sijui kutakuwaje!
Majukwaa yote kivipi? Sijawahi kuchangia kwenye ujenzi, stories of change, historia, magari n.k

Ukweli nisioupinga ni kweli najua mengi, tena kiundani na ndivyo nilivyo. Natumia muda wangu mwingi kusaka maarifa. Na hayo maarifa mengi nayapata kutoka kwa mchumba wangu.
Asante
 
Ukweli usemwe tu,sasa kama Nifah ,Bantu Lady ,Evelyn Salt n.k majukwaa yote wamo,humo ndani sijui kutakuwaje!
Nimecheka enzo1988 sisi ndiyo wanatuita wajuaji 😅😅😅😅😅 hawajui kila sehemu, inahitaji kitu chake.
Kwenye kujifunza na kujua vitu tumo, kwenye mapenzi tunayajua na kudeka juu 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ kwenye mpira tumo.
Sasa wanataka hao wasiojua lolote, wanaongea nini? Au wanaishia kusalimiana na kujigjig tu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Nimecheka enzo1988 sisi ndiyo wanatuita wajuaji 😅😅😅😅😅 hawajui kila sehemu, inahitaji kitu chake.
Kwenye kujifunza na kujua vitu tumo, kwenye mapenzi tunayajua na kudeka juu 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ kwenye mpira tumo.
Sasa wanataka hao wasiojua lolote, wanaongea nini? Au wanaishia kusalimiana na kujigjig tu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Bro huko mpakani mwa Syria huko umesikia yanayojiri?
 
Back
Top Bottom