Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Naomba namba ya mchumba wako, kuna vitu nijifunze bro
 
Bro huko mpakani mwa Syria huko umesikia yanayojiri?
DAh nimeshasikia bro. Wanatukumbusha machungu ya ISIS hawa. Nasikia wamekiwasha, na askari wa Asad, wamezidiwa nguvu. wanaachia tu vijiji.

Hii ni njama ya US na vibaraka wake, Israel baada ya kushindwa kwa Lebanon, wameamua kutumia hao wanamgambo, waanzishe vita. Ili Iran awe busy na Syria, kuna kitu kitatokea utaona tu.
 
Kabisa mkuu, we unakuta mwanamke anazijua mpaka dozi mbalimbali za vumbi la kongo.
 
Mbona kama umemsema Joanah
 
Mwanamke anajua mpaka kutembea na kudumu cha mafuta kwenye gari na kwenye mteremko anashuka na nyutro kusave wese
 
Umenikumbusha kilichotokea mwaka 1963 April..... Hali ilikua mbaya 😹
 
We hujuiiii

Mwanamke awe na Uwezo wa akili wa kujiswitch wakati wowote as per the muktadha!
Huwezi kuwa kilaza muda wote wala kula genius mpk kwenye vitu kama kusugua mgongo jamani!
 
We hujuiiii

Mwanamke awe na Uwezo wa akili wa kujiswitch wakati wowote as per the muktadha!
Huwezi kuwa kilaza muda wote wala kula genius mpk kwenye vitu kama kusugua mgongo jamani!
Nmekumiss sana
 
Leo anakataa mwanamke mwenye akili nyingi halafu kesho atalalamika kwa nini watoto wake hawana akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imagine watoto watakaolelewa hapo
Mama hata hajui dunia inatoka wapi inaenda wapi
 
Nina kademu katoto ka elfu kanapenda hip-hop hako, tukiwa ghetto kanachana mpaka ngoma za naughty by nature
Aisee duh ka2000 kanawajuaje hao au ni chai hii? Maana kuna wanaume na hawawajui hao maniga
 
Njoo tuyajenge mumy
 
Well said .
 
Yaani nilivyopata mkaka mwenye mawazo kama yako hakika nalishwa good time sio poa,yaani anahisi mimi ni mshamba flan hivi kila kitu namuuliza kumbe mwenzie hata ukiniamsha usingizini nikutajie kiongozi wa hezbollah nakutajia,ukiniuliza kupanda kwa hisa za Elon Musk baada ya Trump kushinda nakudadavulia,ukiniuliza habari za Namungo na Yanga nakusimulia,ukiambia maana ya neno "yas" mbadala ya tigo nakuelezea kiundanu,ila yeye hajui ananiona katotoooπŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…