Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Naomba namba ya mchumba wako, kuna vitu nijifunze broMajukwaa yote kivipi? Sijawahi kuchangia kwenye ujenzi, stories of change, historia, magari n.k
Ukweli nisioupinga ni kweli najua mengi, tena kiundani na ndivyo nilivyo. Natumia muda wangu mwingi kusaka maarifa. Na hayo maarifa mengi nayapata kutoka kwa mchumba wangu.
Asante