"We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu?"
Nchi hizo zinazo practice equal right ndizo zinaongoza kuwa na rate ndogo ya ndoa,zinaongoza kwa talaka na ndizo zinaongoza kuwa na single mother? Ushajiuliza why yaani mwanaume awe na raha halafu amwache mkewe?
Kuwa na mke msomi au anaye fahamu vitu vingi,ila anaijua nafasi yake kama mwanamke kwa mumewe na familia yake ni kitu kizuri na kweli type hizi zipo,ila wapo wachache sana.Wengi wao huangukia kwenye categories ya wale wenye toxic feminity. Ila wanawake wengi wakishakuwa na elimu au fedha wengi wao hutaka kushindana na waume zao na ndizo kinacho wakuta hizo nchi zinazo practice equal rights. Ndio maana Strong Independent Woman huishia kugongwa na kuachwa,sababu ya ujuaji wao na kutakuwa na nafsi yao kwa waume na familia za