Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #241
Hehehehe love to say I told you so but you acted like you knew it all!
Ni true Viongozi wa upinzani wamesharidhika Na ruzuku.Masakheri!
Hawawezi kususia uchaguzi ni sawa sawa kumuachia nguruwe akuchomee mishikaki.
Kingine hawa viongozi wa kudumu wa vyama vya upinzani wameishayazoea hayo maisha ya kuwa wapinzani wa kudumu.
Hata wakishindwa kwao uwa siyo tatizo wafuasi wao ndiyo wanaoumia.
Wapo bize Na ruzukuNaunga mkono hoja. Wapinzani wetu wako bize na mambo mengine mpaka kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zitakapo tangazwa.
Pasco
Kweli vichekesho!Sasa mtu kama Mbowe eti ndiye kiongozi wa upinzani tena hadi bungeni.......yaani full vichekesho!
UmewazaViongozi wa chama waoga hatari chadema inakufa muda sio mrefu kiukweli sitapiga kura tena kuondoa mfumo uliopo sasa pengini kifanyike kitu kama kilichofanyika Zimbabwe kinyume na hapo tutajichosha kutegemea vyama uchwara
Hivi mkuu, ile katiba ilipendekezwa na nani? "Katiba pendekezwa"Kwa nyakati hizi, wananchi hawaangushi upinzani, viongozi wa upinzani wanawaangusha wa Tanzania. Watanzania wameshawaelewa Upinzani, na wako tayari kuchagua upinzani na kuiangusha CCM, ila shida ipo kwenye mfumo, tume ya uchaguzi, MABADILIKO YA KATIBA NI YA LAZIMA.
Viongozi wako kwenye mazingira mazuri zaidi yetu sisi kuililia katiba iliyopendekezwa, sio kuja kulialia huku mtaani na kutaja taja Mungu. Mungu kawapa akili, nguvu, uongozi na afya Njema, pambaneni huko bungeni kuhusu katiba.
Kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yanajulikana ni kupoteza muda. Mtu upoteze muda kujiandikisha tena uje uamke alfajiri kupanga mstali ukae kutwa yote unapigwa jua na usumbufu mwingi na watu kupigwa na kujeruhiwa huku tume ya uchaguzi haiko huru (matokeo tayari yanajulikana). Tuiache CCM iendelee kutawala.Hakuna sababu ya kushiriki mechi ambayo refa ni wao na uwanja ni wao, ukinyimwa goli au penati utamlaumu nani?
Mimi siwezi kupiga tena kura kwa tume hii hii.
Nyani Ngabu katika ubora wa juu kabisa. Hii post iko vizuri kabisa, nitashangaa kama kuna watu watabeza hapa. Tufike mahala tuache mavyama, tuongee kama Taifa. Hii katiba ni mbovu na ndiyo inayozalisha TUME YA UCHAGUZI isiyo huru. Mwenyekiti wa chama kimoja anateua tume ya uchaguzi halafu huyo huyo mwenyekiti anakwenda kushindana na vyama vingine katika uchaguzi, hii nadhani ni kupotezeana muda tu. Watu wanaamka alfajiri wanapanga foleni, wanapigwa jua kwaajili ya kutimiza haki yao, lakini matokeo yanaamriwa na "tume huru ya uchaguzi" Tukiendelea kufanya chaguzi katika mtindo huu tusitegemee maendeleo, maana chama kilicho madarakani kina uhakika wa kuwepo sasa kitapelekaje maendeleo kwa wananchi wakati uhakika wa kuwepo upo!!??. Nadhani chaguzi zijazo turnout ya wapiga kura itashuka sana.Sabalkheri na masalkheri mabibi na mabwana popote pale mlipo kwenye pembe ya dunia hii.
Natumai nyote mna na mmekuwa na Jumapili njema kabisa kama ilivyo kwangu.
Baada ya salamu ngoja nizame sasa kwenye hoja ya mada husika.
Tayari kuna minong'ono ya hapa na pale iliyoanza kusikika kuhusu nani labda atagombea urais kupitia kile chama kikubwa cha upinzani au kupitia mwamvuli wa UKAWA.
Jambo ambalo linanishangaza ni ukimya wa vyama vya upinzani kuhusu chombo kinachoendesha na kusimamia chaguzi zetu, tume ya taifa ya uchaguzi.
Wengi tunajua jinsi ambavyo uongozi wa hicho chombo unavyoundwa. Na naamini tupo kadhaa ambao hatuna imani kivile na hicho chombo kutokana na ukweli kuwa huwa kinaundwa na rais aliyeko madarakani na ambaye mpaka sasa amekuwa ndiyo mwenyekiti wa chama tawala cha CCM.
Kwa mtaji huo, baadhi yetu huona dosari iliyopo katika muundo mzima wa hicho chombo. Binafsi naamini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania/ mwenyekiti wa CCM huwa anaweka makada wa chama chake pale ili kulinda na kuhifadhi maslahi ya chama chake endapo ikibidi kufanya hivyo.
Tayari tumeshaona aliyekuwa makamu mwenyekiti wa tume hiyo hapo zamani, Jaji Agustino Ramadhani, alipotangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM. Huyu mtu mimi naamini hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa hiyo tume ya uchaguzi, pia alikuwa kada wa chama chake kwa wakati huo huo.
Sasa sijui hivi vyama vyetu vya upinzani vimejipangaje kuhusu hilo suala la tume ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi inayoundwa na mtu mmoja, tena mtu mwenyewe ndiye mwenyekiti wa chama tawala na mgombea mtarajiwa wa urais kupitia chama chake, haiwezi kuwa huru hata kidogo.
Haiwezi kuwa huru kwa sababu ina wiwa [beholden] na shukurani kwake yeye huyo aliyeiunda.
Mimi ningependa kuona vyama vya upinzani vikisusia kabisa chaguzi kuu zote zijazo hadi hapo tutapokuja na njia ya kuunda chombo kilicho huru cha kuendesha na kusimamia chaguzi zetu.
Kinyume na hapo, wapinzani daima watakuwa wanainsindikiza CCM ikulu halafu baadaye watajifanya kuyasusia matokeo, kutokumtambua rais, na mwisho wao wenyewe kuachia msimamo wao na kumkubali rais aliyepo ikulu.
Sioni kabisa sababu ya kushiriki chaguzi ambazo zinasimamiwa na chombo kisicho huru. Kwa jinsi ilivyo sasa hivi, wapinzani kamwe hawatoiona ikulu. Hata uwingi wa wabunge watauona kwa CCM tu.
Tume ya taifa ya uchaguzi iliyopo sasa hivi haipo kwa ajili manufaa ya Watanzania wote. Ipo kwa ajili ya manufaa ya CCM. Hivyo ndivyo niaminivyo.
*Angalizo*
[Kuwa na tume huru ya uchaguzi haimaanishi moja kwa moja kuwa CCM itashindwa na wapinzani watashinda kwenye chaguzi kuu. Tunachotaka baadhi yetu ni kuwa na tume huru inayoaminika.]
Nyani Ngabu katika ubora wa juu kabisa. Hii post iko vizuri kabisa, nitashangaa kama kuna watu watabeza hapa. Tufike mahala tuache mavyama, tuongee kama Taifa. Hii katiba ni mbovu na ndiyo inayozalisha TUME YA UCHAGUZI isiyo huru. Mwenyekiti wa chama kimoja anateua tume ya uchaguzi halafu huyo huyo mwenyekiti anakwenda kushindana na vyama vingine katika uchaguzi, hii nadhani ni kupotezeana muda tu. Watu wanaamka alfajiri wanapanga foleni, wanapigwa jua kwaajili ya kutimiza haki yao, lakini matokeo yanaamriwa na "tume huru ya uchaguzi" Tukiendelea kufanya chaguzi katika mtindo huu tusitegemee maendeleo, maana chama kilicho madarakani kina uhakika wa kuwepo sasa kitapelekaje maendeleo kwa wananchi wakati uhakika wa kuwepo upo!!??. Nadhani chaguzi zijazo turnout ya wapiga kura itashuka sana.
Sio kwa utawala wa CCM hawawezi kukubali hii maana ndio karata yao kubwa sana.Sabalkheri na masalkheri mabibi na mabwana popote pale mlipo kwenye pembe ya dunia hii.
Natumai nyote mna na mmekuwa na Jumapili njema kabisa kama ilivyo kwangu.
Baada ya salamu ngoja nizame sasa kwenye hoja ya mada husika.
Tayari kuna minong'ono ya hapa na pale iliyoanza kusikika kuhusu nani labda atagombea urais kupitia kile chama kikubwa cha upinzani au kupitia mwamvuli wa UKAWA.
Jambo ambalo linanishangaza ni ukimya wa vyama vya upinzani kuhusu chombo kinachoendesha na kusimamia chaguzi zetu, tume ya taifa ya uchaguzi.
Wengi tunajua jinsi ambavyo uongozi wa hicho chombo unavyoundwa. Na naamini tupo kadhaa ambao hatuna imani kivile na hicho chombo kutokana na ukweli kuwa huwa kinaundwa na rais aliyeko madarakani na ambaye mpaka sasa amekuwa ndiyo mwenyekiti wa chama tawala cha CCM.
Kwa mtaji huo, baadhi yetu huona dosari iliyopo katika muundo mzima wa hicho chombo. Binafsi naamini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania/ mwenyekiti wa CCM huwa anaweka makada wa chama chake pale ili kulinda na kuhifadhi maslahi ya chama chake endapo ikibidi kufanya hivyo.
Tayari tumeshaona aliyekuwa makamu mwenyekiti wa tume hiyo hapo zamani, Jaji Agustino Ramadhani, alipotangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM. Huyu mtu mimi naamini hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa hiyo tume ya uchaguzi, pia alikuwa kada wa chama chake kwa wakati huo huo.
Sasa sijui hivi vyama vyetu vya upinzani vimejipangaje kuhusu hilo suala la tume ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi inayoundwa na mtu mmoja, tena mtu mwenyewe ndiye mwenyekiti wa chama tawala na mgombea mtarajiwa wa urais kupitia chama chake, haiwezi kuwa huru hata kidogo.
Haiwezi kuwa huru kwa sababu ina wiwa [beholden] na shukurani kwake yeye huyo aliyeiunda.
Mimi ningependa kuona vyama vya upinzani vikisusia kabisa chaguzi kuu zote zijazo hadi hapo tutapokuja na njia ya kuunda chombo kilicho huru cha kuendesha na kusimamia chaguzi zetu.
Kinyume na hapo, wapinzani daima watakuwa wanainsindikiza CCM ikulu halafu baadaye watajifanya kuyasusia matokeo, kutokumtambua rais, na mwisho wao wenyewe kuachia msimamo wao na kumkubali rais aliyepo ikulu.
Sioni kabisa sababu ya kushiriki chaguzi ambazo zinasimamiwa na chombo kisicho huru. Kwa jinsi ilivyo sasa hivi, wapinzani kamwe hawatoiona ikulu. Hata uwingi wa wabunge watauona kwa CCM tu.
Tume ya taifa ya uchaguzi iliyopo sasa hivi haipo kwa ajili manufaa ya Watanzania wote. Ipo kwa ajili ya manufaa ya CCM. Hivyo ndivyo niaminivyo.
*Angalizo*
[Kuwa na tume huru ya uchaguzi haimaanishi moja kwa moja kuwa CCM itashindwa na wapinzani watashinda kwenye chaguzi kuu. Tunachotaka baadhi yetu ni kuwa na tume huru inayoaminika.]
Mkuu unaamini Tanzania kuna upinzani?........ Kilichopo hapa ni kanyaboya tu ndio maana Prof Lipumba ameona huu ni ujinga bora " ajitafunie" ruzuku tu!
upinzani hawataki kushika dola ni wababaishaji sana!
masuala ya tume huru hawayatilii mkazo, wanatilia mkazo kususia uchaguzi, kuandamana baada ya uchaguzi , suala la kuungana nalo hiloo linaanza kufa maana UKAWA ndo unaufutika kwa kifupi wapinzani hawapo tayar kushika wanasumbua tuu
Sabalkheri na masalkheri mabibi na mabwana popote pale mlipo kwenye pembe ya dunia hii.
Natumai nyote mna na mmekuwa na Jumapili njema kabisa kama ilivyo kwangu.
Baada ya salamu ngoja nizame sasa kwenye hoja ya mada husika.
Tayari kuna minong'ono ya hapa na pale iliyoanza kusikika kuhusu nani labda atagombea urais kupitia kile chama kikubwa cha upinzani au kupitia mwamvuli wa UKAWA.
Jambo ambalo linanishangaza ni ukimya wa vyama vya upinzani kuhusu chombo kinachoendesha na kusimamia chaguzi zetu, tume ya taifa ya uchaguzi.
Wengi tunajua jinsi ambavyo uongozi wa hicho chombo unavyoundwa. Na naamini tupo kadhaa ambao hatuna imani kivile na hicho chombo kutokana na ukweli kuwa huwa kinaundwa na rais aliyeko madarakani na ambaye mpaka sasa amekuwa ndiyo mwenyekiti wa chama tawala cha CCM.
Kwa mtaji huo, baadhi yetu huona dosari iliyopo katika muundo mzima wa hicho chombo. Binafsi naamini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania/ mwenyekiti wa CCM huwa anaweka makada wa chama chake pale ili kulinda na kuhifadhi maslahi ya chama chake endapo ikibidi kufanya hivyo.
Tayari tumeshaona aliyekuwa makamu mwenyekiti wa tume hiyo hapo zamani, Jaji Agustino Ramadhani, alipotangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM. Huyu mtu mimi naamini hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa hiyo tume ya uchaguzi, pia alikuwa kada wa chama chake kwa wakati huo huo.
Sasa sijui hivi vyama vyetu vya upinzani vimejipangaje kuhusu hilo suala la tume ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi inayoundwa na mtu mmoja, tena mtu mwenyewe ndiye mwenyekiti wa chama tawala na mgombea mtarajiwa wa urais kupitia chama chake, haiwezi kuwa huru hata kidogo.
Haiwezi kuwa huru kwa sababu ina wiwa [beholden] na shukurani kwake yeye huyo aliyeiunda.
Mimi ningependa kuona vyama vya upinzani vikisusia kabisa chaguzi kuu zote zijazo hadi hapo tutapokuja na njia ya kuunda chombo kilicho huru cha kuendesha na kusimamia chaguzi zetu.
Kinyume na hapo, wapinzani daima watakuwa wanainsindikiza CCM ikulu halafu baadaye watajifanya kuyasusia matokeo, kutokumtambua rais, na mwisho wao wenyewe kuachia msimamo wao na kumkubali rais aliyepo ikulu.
Sioni kabisa sababu ya kushiriki chaguzi ambazo zinasimamiwa na chombo kisicho huru. Kwa jinsi ilivyo sasa hivi, wapinzani kamwe hawatoiona ikulu. Hata uwingi wa wabunge watauona kwa CCM tu.
Tume ya taifa ya uchaguzi iliyopo sasa hivi haipo kwa ajili manufaa ya Watanzania wote. Ipo kwa ajili ya manufaa ya CCM. Hivyo ndivyo niaminivyo.
*Angalizo*
[Kuwa na tume huru ya uchaguzi haimaanishi moja kwa moja kuwa CCM itashindwa na wapinzani watashinda kwenye chaguzi kuu. Tunachotaka baadhi yetu ni kuwa na tume huru inayoaminika.]
Unachosema uko sahihi ila tusifike kususia uchaguzi maana hawa jamaa malengo yao ni kuua upinzani kama nguvu kubwa inayotumika kwa sasa kumtimia Propesa pumba n.k.
La msingi upinzani by hook crook ni kutafuta namna ya kupata tume huru ya uchaguzi maoena sana japo vikwazo vingi sana kutokana na woga wa ccm
Upinzani wa Tanzania umejaa mamluki kibao wanaoendeshwa na njaa ya madaraka, na hili linazidi kuwa wazi kadri siku zinavyoenda.
Huu upinzani tulionao tayari unaelekea ICU na kinachoupeleka huko ni wapinzani wenyewe wanaonekana wameshindwa kumaliza tofauti zao ndani ya chama sasa nikukomeshana tu kwa usaliti.
Nashawishika kuamini hata katiba mpya nzuri ikiwepo kwa huu upinzani unaoelekea shimoni hakuna jipyaa litakalotekea.
Kwa nini wananchi hawadai tume huru? Kwani kura zinazoibiwa ni za nani? Wanaoibiwa kura ni upinzani au wapiga kura? Just assume for a second kuwa hakuna upinzani Tanzania. Kazi ya kudai tume huru itakuwa ya nani? Kwa kifupi, nobody is going to do it for you. You have got to do it yourself.
Kivipi tuna mlaumu ccm wakati wanafanya maamuzi kwa utashi wao?Na wa kulaumiwa kwa hilo ni CCM. Do you reckon?