Ndiyo, huoni wanaendelea kukubalika? Itafika siku hata wachakachuaji wataona aibu au watakimbia kwa kuhofia hasira za waliopiga kura. Mtaji wa upinzan ni watu, acha waendelee kupata watu na kukubalika. Wakifanikiwa kupata theluthi moja bungen hapo Pia watakuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko kwa kukwamisha mambo ya serikali mpaka lao likubaliwe na serikali.Kwa hiyo wapinzani waendelee tu kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na tume ya uchaguzi inayoteuliwa na mwenyekiti wa CCM?
acha zako leo unasemaje, unadhani hawakuji! acha zako hizzo unakotokea walikuwepo juziKila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Huu si ushauri mpya, wala si kwamba haijatokea Tanzania. CUF ni chama cha upinzani hapa Tanzania. Maalim Seif alijitoa kwenye uchaguzi Zanzibar baada ya kuona tume ile ile iliyokataa kumtangaza yeye kuwa mshindi, inaratibu uchaguzi mwingine wa marudio. Kwa ufupi hakukuwa na haja ya kuanzisha thread hii kwani ulichoshauri kilishafanyika miaka miwili iliyopita. Sana sana ungeanzisha thread ya kumpongeza Raila kwa kuwaiga wapinzani wa Tanzania. Mods futeni huu uzi jamaa amepitiwaMuda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi. Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
sidhani kama kuna mpinzani serious atakaa asikilize ushauri wa mtu dizaini yako.Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Sasa badala ya kujadili hoja wewe unaanza kunishambulia mimi.acha zako leo unasemaje, unadhani hawakuji! acha zako hizzo unakotokea walikuwepo juzi
Unachosema ni sahihi, lakini ccm nao pia si wajinga saana.Kila mwaka wa uchaguzi mnashiriki chaguzi za kutafuta viongozi wa ngazi mbalimbali nchini.
Chaguzi mnazoshiriki huendeshwa na kuratibiwa na tume ya taifa ya uchaguzi.
Huku mkiwa mnajua kabisa jinsi ambavyo hiyo tume huundwa, huwa mnashiriki na si ajabu kujipa matumaini hewa kuwa mwaweza kushinda, hususan nafasi ya urais.
Kwa jinsi ilivyo sasa mtaendelea kuishia kujipa matumaini hewa tu kwa sababu mshindi wa hiyo nafasi ya urais ni 'a foregone conclusion'.
Kama ilivyo ada, matokeo yakishatangazwa huwa mnayakataa na kuanza kudai kuwa tume haipo huru.
Kama mnaona tume haipo huru [jambo ambalo nakubaliana nalo], kwa nini huwa mnaamua kushiriki chaguzi zinazoendeshwa na hiyo tume?
Leo Raila Odinga na muungano wao wa NASA wameamua kujitoa ushiriki wao kwenye marudio ya uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika baadaye mwezi huu kwa sababu hawajaridhishwa na utendaji wa hiyo tume.
Muda umefika sasa na nyie muache kushiriki chaguzi ziendeshwazo na tume ambayo hamna imani nayo. La sivyo, mtaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu maana msitegemee tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM ije kuwatangaza washindi.
Fuateni nyayo za Raila hata kama mnampenda Uhuru.
Hoja ile pale, CUF walishafanya hivyo, mpongeze Raila kwa kuiga CUF ya Tanzania, kisha tufunge threadSasa badala ya kujadili hoja wewe unaanza kunishambulia mimi.
Naona kama umekaririshwa. Wewe unaona upinzani siyo maadui wa serikali? Unaongea kutoka wapi wewe?Wala tatizo kuu la upinzani Tanzania sio tume. Tatizo la Msingi la upinzani Tanzania lipo ndani ya fikra zao. Hawajajua wanataka nini; hawana maono, hawana dira, hivyo wanaweza kuamua kwenda kokote wakati wowote kufanya chochote.Wanaweza kuanzia kokote, wakapita kokote na kuishia kokote kwa sababu yoyote ile. Kwa bahati mbaya hawajui kuwa wanatatizo hili, hivyo pamoja na kuwashauri sana, wanaonekana wala hawana mpango wa kulishughulikia lili na kubadilika.
Kimsingi kama hawatashughulika na tatizo hilo na kulimaliza, wataendelea kulaumu wanayedhani ni adui wa nje ila kimsingi adui mkubwa yu ndani yao wenyewe.
sijakushambulia, nasema unachokiandika siyo dhamira yako. Unawakejeli, upinzani. jamani hapo nimekushambulia. Sidhan kama unamaanisha kweli kuwa wasusie uchaguzi kama RailaSasa badala ya kujadili hoja wewe unaanza kunishambulia mimi.
Typical kamanda behavior[emoji23] [emoji23] [emoji23]