Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Unabishana na Facts. Watanzania mpoje ?.Uislam siyo dini ya abraham
Mud hakuwa na konection yyte na abraham
mud alijipachika tu,,,inaeleweka.Unabishana na Facts. Watanzania mpoje ?.
Rudi usome tena bado hujaelimika mambo ya dini. Huwezi hata kutumia tu google search ikupe majibu ?
Mnatia aibu sana.
Kukusaidia tu.
Abrahamic religions;
Uyahudi
Ukristo
Uislamu.
Kwa hio mkuu hujui kuwa Idd kubwa ni sherehe ya kumuenzi Ibrahimu ?
Ulifauluje huko shule ?
Hujui hata watu wanaozungumziwa ni wale wale ? Musa , Ibrahim , Isaka, Yakubu.
Ukiendelea kujibu ujinga sitakujibu chochote. .
Haya utachagua mwenyewe kati ya mungu anayetaka kupiganiwa na Mungu anaewapigania watu wake◄ 2 Corinthians 4:4 ►
Audio Crossref Comment Greek
Verse (Click for Chapter)
New International Version
The god of this age has blinded the minds of unbelievers, so that they cannot see the light of the gospel that displays the glory of Christ, who is the image of God.
Bibilia inasema Mungu kawapofua akili wasio amini hizo bibilia zenu hahaha
Sa swali walio ziamini afu wakazikimbia na wao vipi. Afu huyo ni Mungu au ni Shetani ndio anapofua akili ili wasiamini, sidhani kama Mungu, huyo ni shetani tu.
Hivi kwanini wakristo wengi mnakuwaga watu wa kumezeshwa mistari flani na nyie mnabakia hapohapo kibubusa? Hii concept ya kuwa Mungu wa kiislamu anahitaji kupiganiwa mnadanganywa na nani? ... Mungu amewaruhusu waislamu wajihami pale wanapodhulumiwa. Haya mapigano yote ya waislamu mnayoyaona mshawahi kuona waislamu wanaenda kuwapiga watu katika nchi zao? wao wanapigana kwao katika ardhi zao kupinga dhuma walizokuja kufanyiwa kwao na hao ambao unadanganywa kuwa Mungu wao ndo anawapigania, ila kuna mtu akili kisoda kama wewe unadanganywa na wazungu kwa propaganda na wewe unajaa! ... yani jambazi kaja kwako na wewe unajitahidi kupambania familia yako lakini unaitwa wewe ndo mhalifu?????Haya utachagua mwenyewe kati ya mungu anayetaka kupiganiwa na Mungu anaewapigania watu wake
Si kila mtu na anacho kiwazasiku nikisikia kichwa cha ayatoula kimeliwa itakuwa poa sana, badala ya kuwaza maendeleo ya nchi anawaza kujenga misikiti na kufadhili ugaid, bure kabisa.
Nawewe kafiri nini mbona umekasirika sanaKafiri ni kwanyinyi mliofundishwa chuki
Kwa wakristu kafiri ni mtu ambae hana dini!
chuki inaua mkuu achana na hiyo chuki ya waarabu
Vipofu kwani hua na uwezo wakuona pia ?maendeleo gan tuoneshe
Hapo umeongelea majambo mawili ama matatuNchi yenye nguvu zaidi Middle East or Arab World ni Saudi Arabia, na pia ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile ya ki-Arab hapa duniani. Aidha, Saudi Arabia ni rafiki mkubwa zaidi wa nchi ya Marekani.
Unaelewa kwanza maana ya dini?Kutoka dini moja kwenda dini nyingine ni akili ile ile . Kwa nini wasiwe budha au dini nyingine.
Bado wamefungwa ktk dini za Abraham.
Ongea kwa statistic siyo kwa HisiaVipofu kwani hua na uwezo wakuona pia ?
Nyie hapo kwenu munaendeshwa kidini pia?Iran inatakiwa kuachana na mfumo wa kuendesha nchi kidini. Nchi yenyewatu wenye IQ kubwa duniani inaendeshwa kidini ni kudumiza matumizi ya akili za watu.
Hawa wote zamani kabla ya bwana yule kuleta dini yake na kuineneza kwa technolojia ya upanga iitwayo JIHADI walikuwa na wakristu. Asili huwa haipotei lazima Kuna kizazi kitairudisha. Hata ALGERIA iliyokuwa ardhi ya kikatoliki Kuna siku itarudiWakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .
Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.
Kongole kwenu wairan
View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e
Alokwambia kama uislamu ni desturi ya kiarabu nani napi kakudanganya tena haswaaaWaIran ni watu makini na waliwahi kuwa taifa lenye nguvu kuzidi hata marekani ilivyo leo. Sasa wameona kwamba kuendelea kushikilia desturi, mila, tamaduni na ustaarabu wa waarabu ni ujinga na siyo matumizi sahihi ya uwezo wa kufikiri. Baada ya hapo tegemea kuona mabadiliko makubwa ya kijamii na kitamaduni ya watu wa Irani. Pia mjue ya kuwa waIran na waarabu ni chui na paka. Hawaivi chungu kimoja ndiyo maana wanamkakati wa kuachana kabisa na desturi za kiarabu walizozificha kwenye kivuli cha dini ya kiislam.
Hawa wote zamani kabla ya bwana yule kuleta dini yake na kuineneza kwa technolojia ya upanga iitwayo JIHADI walikuwa na wakristu. Asili huwa haipotei lazima Kuna kizazi kitairudisha. Hata ALGERIA iliyokuwa ardhi ya kikatoliki Kuna siku itarudiWakuu
Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam.
Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu.
Kifupi wairan ni kama wazungu hawatak kuamini katika nadharia za kidini .
Na pili wengi wao saizi hawaswali na mamilioni wanabadili dini kwenda kwene ukristu.
Kongole kwenu wairan
View: https://youtu.be/0gYVbK4kP2A?si=A4a5n2G-7pHIXk4e
Hakuna mtu asiekua na dini duniani acha kujidanganyaHii ndio sababu nawadharau sana wafuata dini kikondoo, hasa wa Kiafrikakama wewe. Dini haina faida yoyote wala mchango wowote kiakili, kiuchumi wala kimaendeleo. La sivyo China, Korea na Japan wangekuwa masikini wa kutupwa sababu hawaamini dini yoyote kati ya hizo mbili.
Ni kujitambua, kujiamini kwao na uthubutu wao ndio umewafikisha Asians walipo. Kitu ambacho ni highly admirable kwa wanaojitambua.
On another hand hii thread inasikitisha. It's despicable.
Hisia hapo ziko wapi?Ongea kwa statistic siyo kwa Hisia
Kuna Muafrika ambaye ubongo haujadumaa Kwa kukisa lishe? Hata wewe hapo ubongo umeduma.Nyie hapo kwenu munaendeshwa kidini pia?
Mbona akili zimedumaa zaidi ya mtoto alokosa lishe😂
astagafurirah,Si kila mtu na anacho kiwaza
Sasa si bora anaewaza kujenga miskiti kuliko anaewaza kuendeleza ufiranaji na usagaji kama mungu wenu papa
Daah huu upunguani sasa ,akina Mahlangu wa South zawadi pekee baada ya kufia kwenye mapambano si uhuru wa watu wao pale Sauzi au wee unaleta stori zipi ??? Weka mambo ya dini pembeni kule watu wanapambania uhuru wao wa kujitambua sio leo unajenga nyumba kesho anakuja settler kutoka new york anasema hapi kwake anabomoa unakuwa homeless hivi watu mnashabikia vipi uonevu hii sio sawa ni sawa tu anachofanya Russia sio sawa kuvamia watu na kuwafanya wakimbizi ndani ya territory no matter what the justifications .si ya ugaidi ukifia kwenye mission