Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Unabishana na Facts. Watanzania mpoje ?.Uislam siyo dini ya abraham
Mud hakuwa na konection yyte na abraham
Rudi usome tena bado hujaelimika mambo ya dini. Huwezi hata kutumia tu google search ikupe majibu ?
Mnatia aibu sana.
Kukusaidia tu.
Abrahamic religions;
Uyahudi
Ukristo
Uislamu.
Kwa hio mkuu hujui kuwa Idd kubwa ni sherehe ya kumuenzi Ibrahimu ?
Ulifauluje huko shule ?
Hujui hata watu wanaozungumziwa ni wale wale ? Musa , Ibrahim , Isaka, Yakubu.
Ukiendelea kujibu ujinga sitakujibu chochote. .