Sisi tudeal na mambo ya maana. Misiba ya mafisadi waachieni wenyewe hao walioshibidhana kwa rasilimali zetuTukutane next week ya Maandamano huu msiba ni wa wenyewe ........
Daaah
mtu akishakufa ana thamani gani?Sisi mitaani tuna misiba kila siku..... Huu sio wa ajabu
Hakuna kitu nachukia na ninaogopa kama bodily harm. Ni crime kubwa sana. Hata kwa madem zangu wakianzaga kelele tu natoka nje.Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa lowasa msije mkapigwa ngumi za uso au Risasi. Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio walio mpenda.
Mshamba huyoKuna haja gani kurusha ngumi kwenye mazingira kama hayo
Ukute ni Mpwa wa Marehemu😆😆[emoji16][emoji16][emoji16]mwamba inaonesha mwanzo hapo kuna kamchezo alikuwa anakamalizia.
Ila haihalalishi huo upuuzi alioufanya huyo mlinzi. Matatizo ya kutatua kila tatizo kwa kutumia nguvu ndo hayo.
Hapo kama mtu kashajichokea zake unaishia kumwua na kusababisha kelele zisizo na ulazima, na serikali ilivyojazana watu wa ajabu ajabu inakulinda mwanzo mwisho.
Hicho kipigo kapata ni Cha kipekee hakitatoka kwenye kumbukumbu zake mileleKwahiyo kila aliyepata kipigo aliokoka?
Na ukisha okoka ndio inakua ni ulinzi wako huo na huwezi kupata kipigo tena?
Ni upuuzi tu na matumizi mabaya ya fedha za umma.mtu akishakufa ana thamani gani?
wanalinda maiti kwamba itaaibiwa au?
Hahaa duuhMpaka mseme! Na hiyo ni chai tu
Bado chakula chenyewe! Hizo gari zitafanya hiyo kazi mwaka huu mpaka ziwekewe bajeti ya mafuta
Wanakasirika??
Hanw taaluma ya ulinzi huyoNgumi kama imerushwa kizembe ila ukiizoom na kuitafakari inakoelekezwa ni ngumi ya kitaalam sana. Sumbwi limeelekezwa kupiga maeneo ya kimkakati ili jamaa asirudie tena.
Mlinzi angempiga mtama tu huwezi kulinda maiti kwa kuhatarisha uhai wa wanaopumua
Nendeni tu kuzika ila Viroba vya pombe mnavyokunywa Arusha msiende navyo MonduliTukisikia msiba tutajaa zaidi Arusha monduli watazikana wenyewe wanyonge wote arusha
Alikuwa anataka sifa labda kwa kina Fred lowasa [emoji1]Mambo ya kishenzi kabisa, angeweza kumsukuma tu na sio kumpiga ngumi ya kichwa. Askari wetu nguvu nyingi akili kidogo, wenye akili wako kwenye magari ndani wamevaa manyota yao.
Hahahaa eti Kama kwa Mwamposa! Mzee wa like umetisha leo mara ya kwanza kuona comment yako.Mwamba kadondoka kama yupo kwa mwamposa vile duh
Sasa uende msibani kwa waliokuibia kodi zako itakusaidia nini?Nchi ya wababe hii ila masikini mwenzangu Lucas mwashambwa siku zote kuwasifia
Hatwendi tunabaki Arusha kumzika masikini mwenzetu mnywa viroba huyuNendeni tu kuzika ila Viroba vya pombe mnavyokunywa msiende navyo Monduli