Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Safi kabisa, huyo alitaka kuingia barabarani, akajirudi, hiyo ngumi ya kushoto ni nzuri sana, huyo mwananchi hajui hata kukwepa ngumi, alafu kwanini asogee barabarani kiasi hicho, kosa hilo
Hivi ngumi ya kushtukizwa unaikwepaje? Imagine tuko jogging halafu ghafla nikuchape left hook unafikiri utakaa uione?😂
 
Amejitakia msiba wa mtu sio baba Yako, sio mama Yako...unaacha kazi zako unajipanga barabarani, mie bado sana wazimu huo hujanipata bado
[emoji16][emoji3459][emoji3459][emoji108][emoji1732]
 
Huyu mlinz angekuw ameshika AK_47 si angeua wotee

Dah my country [emoji846][emoji846]


Huo unalindw ni mwil wa marehemu je angekuw proper (official si angeuliwa kbsa
 
Hapo sio rahisi kukwepa kwasababu hata hujui kuwa umefanya kitu cha kupewa
Jamaa ukiangalia ni kama kabla ya kupigwa alitaka kuweka kitu au kuvukq akasita angalia sekunde za mwanzo za clip kabla hapaewa ile keleb. Ndio maana jamaa alikuwa interested naye.
Ukiangalia waombolezaji wengine walikuwa watulivu.

Angalia sec ya 6
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa

Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.

Mpuuzi,sifa za kijinga, mtu mwenyewe hana madhara, mtu mzima, unashindwa ata kumsukuma tu? Mpaka umpige hook yote ile na akifa? Hizi ni sifa za kijinga sana. Zikemewe na yule bwana awajibishwe. Ila ipo siku yao.
 
Back
Top Bottom