Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hawezi kushtakiwa kwasababu hakuna jinai ambayo aliitenda zaidi ya utumishi uliotukuka!Huyu akipelekwa ubaoni hachomoki especially hilo kosa la matumizi mabaya ya madaraka watamdaka mapema mno maana alikuwa anasumbua watu then mwishoni hakuna kinachotokea zaidi ya kuwapakazia watu Mambo ambayo amekosa ushahidi.