Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Huyu akipelekwa ubaoni hachomoki especially hilo kosa la matumizi mabaya ya madaraka watamdaka mapema mno maana alikuwa anasumbua watu then mwishoni hakuna kinachotokea zaidi ya kuwapakazia watu Mambo ambayo amekosa ushahidi.
Hawezi kushtakiwa kwasababu hakuna jinai ambayo aliitenda zaidi ya utumishi uliotukuka!
 
Kumekucha..

Maisha yako speed sana...
Ya leo sio ya Jana na hata ya Jana sio ya leo,,, enyi vi fuata upepo ipo siku mtapoteza mwelekeo.. FidQ

Makonda sasa uelekeo umekuwa mgumu baada ya upepo alioutegemea kupotea
 
akigungwa Makonda ndo umaskini utakuwa umeisha kwa Watanzania? hawa wanasheria wengne njaa sana.
 
Na kwa kauli ya Prezda jana wakati anazindua jengo la chuo cha Jeshi kunduchi sasa naweza amini DAB a.k.a Paul makonda huenda akashtakiwa
Na mahakama imuulize kwa kiapo jina lake Nani, hii ndo iwe kesi ya msingi.
 
Ok, ngoja tuone.

Makonda awe makini, hilo kosa linaweza "kutengenezwa" lifanane na lile la Sabaya limpeleke jela na yeye, nikiangalia kwa jicho la tatu naliona litamkalia vibaya sana, kwenye utetezi sioni kama atakuwa na pakutokea.
Yule ashtakiwe kwa ugaidi.
 
Huyu akipelekwa ubaoni hachomoki especially hilo kosa la matumizi mabaya ya madaraka watamdaka mapema mno maana alikuwa anasumbua watu then mwishoni hakuna kinachotokea zaidi ya kuwapakazia watu Mambo ambayo amekosa ushahidi.
Siasa tu
 
Mwendazake aliharibu nchi katika kiwango ambacho hakijawahi kutokea.
Hata kulazimisha watu kupima mikojo bila hiari Yao na majibu kupewa mwanasiasa ni kuingilia faragha za watu wengine
 
tuangalie kesi ya mbowe kwanza mapingamizi yanavyotupwa huko na mawakili wanajiita wasomi kumbe hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…