Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Haya mavyama yote yanatengenezwa na chama......Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.
View attachment 2525791
Hata kama wana azma hiyo sidhani kama watahamia hivi karibuni, jinsi Mdee anavyoupenda ubunge hawezi kuuwachia kizembe kizembe. Atahamia karibia na uchaguzi.
Be sure that The Sukuma Gang will torment you all your life!!!Sukuma Gang mnaanza kusigana sasa
Haya mavyama yote yanatengenezwa na chama......
[emoji23]hatimaye wametafutiwa hifadhiGazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.
View attachment 2525791
Wacha waende kwa wasaliti wenzao.
Kwani tukipewa taarifa kwamba COVID-19 wanahamia ACT Wazalendo wewe unapata shida gani???
Kweli wana...'nyatiwa'Akina Mdee na covid wenzake kwa vyovyote watahamia chama kingine hasa hasa ACT, kwani sioni wakiweza tena kubaki ndani ya CDM
ACT asili yake ni dampo la wasalitiWacha waende kwa wasaliti wenzao.
Kwa Mwandishi wa habari hiyo haitakuwa habari bali taarifaKwani wangesubiri wakahama ndio wakaandika wangepungukiwa nini? Na wasipohama wakabaki Chadema je?
Hawaandiki propaganda za kitoto zinazoendeshwa na chama cha majizi ya kura huku mitandaoni. Huo uzushi wa kitoto kuwa Lisu ana support ushoga, kaandikeni kwenye gazeti lenu la uhuru linalosomwa na wazee.Wewe na Raia Mwema ndio wajinga na malimbukeni. Kwani Mdee akihamia ACT - Wazalendo kinakuuma nini? Mbona Lissu anaunga mkono ushoga na hawaandiki?
Dr Slaa naye huyooooBADO LISSU SASA KUJIUNGA ACT WAZALENDO! 😵😵😵
Ukweli unabaki kuwa ukweli hata uupinge vipi. Ndio maana Waingereza wana msemo, "If it walks like a duck, cries like a duck and resembles a duck, it's always a duck"!Hawaandiki propaganda za kitoto zinazoendeshwa na chama cha majizi ya kura huku mitandaoni. Huo uzushi wa kitoto kuwa Lisu ana support ushoga, kaandikeni kwenye gazeti lenu la uhuru linalosomwa na wazee.
Siku akihama urudi kwenye hii komenti kuomba msamaha. Time will tell. Ngoja tusubiriRaia Mwema limeishakuwa gazeti la hovyo kabisa.
Wewe wa kumfundisha Siasa Halima James Mdee Mbunge wa vipindi vinne mfululizo, Mbunge wa viti maalum, Mbunge wa Jimbo wa kwanza Mwanamke wa jiji la Dsm kutokea upinzani, mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama kikuu cha Upinzani, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa, Mwanasheria nguli aliesomea ndani na nje ya Nchi na kubwa zaid ni 'Mzalendo' tangu akiwa Udsm.Mimi ni jiniasi wa matukio ...ksma ni kweli wanajiunga ACT basi huo utakuwa mwisho wao kisiasa bora hata wangebaki chadema ...kama wangekuwa na akili basi walitakiwa wajiunge na chama chochote kipya au chama kidogo, au bora wangejiunga NCCR MAGEUZI
Hao walishafukuzwa ChademaKwani wangesubiri wakahama ndio wakaandika wangepungukiwa nini? Na wasipohama wakabaki Chadema je?
Raia Mwema limeishakuwa gazeti la hovyo kabisa.