Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

Hayo yote uliyoyaandika hayana msingi wowote, Halina na kundi lake wana hiyari ya kwenda popote, ni watu wazima wanaijua siasa vizuri sana, karibuni ACT-WAZALENDO.
 
Kesi ile mwisho wake ni hadi june 2025
Time will tell, kama hili uliloandika litatimia, basi watakuwa wasaliti kamili kama ilivyotokea kwa kiongozi muanzilishi wa ACT, hakika hao wanafaa kuungana, kwani wanafanana tabia.
 
ndo itakuwa mwisho wao kisiasa
 
Huko kwa Zitto Halima anaenda kujisagia kunguni tu.
 
Chama pekee chenye matumaini ni CDM, hawa wengine ni wachumia tumbo - siku wakikorofishana huko namna ya kugawana mafao na vyeo utawaona hao CHAUMA.

Tunawaombea safari njema, tena wamechelewa mno.
 
Kwangu mimi sioni tatizo la wao kwenda ACT kwanza ni vzr sana hasa kweny mikutano na kampeni 🤣🤣🤣🤣
 
Kwangu mimi wanasiasa wa upinzani kutukanana, kufukuzana, kuhama chama hiki na kuhamia chama kile na kurudi tena, kwangu mimi sio habari. Kama kwako na kwa Raia Mwema ni habari, basi sawa.

Wanaohama na kurudi ni wanachama wa upinzani tu?
 
COVID 19 ni maghalasha matupu, wacha waende kwa msaliti mwenzao CDM ilishamalizana nao hatuwahitaji tena hao malaya wa kisiasa!
 
Ukweli unabaki kuwa ukweli hata uupinge vipi. Ndio maana Waingereza wana msemo, "If it walks like a duck, cries like a duck and resembles a duck, it's always a duck"!

Hoja yako ni ipi hapa, au umetaka kutuonyesha unajua kiingereza kwa quote hiyo sentensi hapa?
 
Wewe na Raia Mwema ndio wajinga na malimbukeni. Kwani Mdee akihamia ACT - Wazalendo kinakuuma nini? Mbona Lissu anaunga mkono ushoga na hawaandiki?
Na weee punguza upimbi bhana, lini Lissu amekuambia ukagonoke ??? Acha kumsingizia mhe Lissu ... Hiyo itakuwa ndo starehe yko tu ...usisingizie watu
 
Una mawazo ya hovyo sana aiseee, hv Act wazalendo waisumbue chadema kwa lipi?? Hata wamchukue Mdee na wenzake bado hawawezi kuisumbua chadema... Chadema ni dude kubwaaaaa ambalo kuliparamia tu unatafuta kifo
 
Siku zote huwa una mawazo ya kipimbi sana mkuu..hao Act wazalendo nchi nzima wana wanachama 14000 tu alafu wapambane na chadema yenye wanachama 12,000,000 ??? Labda kama mtawakopesha wanachama wenu kutoka ccm
 
Kwa kweli hawa Dada zangu amekosa washauri mpaka wajiunge ACT kwanza lazima wakumbuke hiki chama kilivyoasisiwa mpaka anakabidhiwa Zitto.
Labda wangejiunga na Cuf afadhali au waombe msamaha kwa chama Chao kwani wakiondoka ndo mwisho wao kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…