Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

Gazeti limesema ukweli wajinga tu ndiyo watapinga.
 
Msaliti/wasaliti ni wasaliti na huko kukitokea nafasi ya kusaliti, watasaliti tu!
 
Ni haki yao kwenda popote iwe ACT au wabaki hapo hapo CCM sisi huku Chadema tulishawafukuza hatuwezi kuwapangia pa kwenda
 
Kwahiyo wewe unadhani halima ni zaidi yangu kwa sababu ya hayo uliyo sema ...mimi ninge kuwa mwanasiasa basi sisiemu isinge kuwa madarakani mpaka muda huu washukuru wanashindana na watu wenye akili finyu
 
Na weee punguza upimbi bhana, lini Lissu amekuambia ukagonoke ??? Acha kumsingizia mhe Lissu ... Hiyo itakuwa ndo starehe yko tu ...usisingizie watu
Lissu mwenyewe hajakanusha kuwa anaunga mkono ushoga, lakini ninyi chawa povu linawatooooka!
 
Haaahaaa mlisema haya Toka 2010 ila ndio kwanza Chadema inadunda. Hiyo 2025 nakuhakikishia ACT itavurugika kwenye mgombea Urais hasa Zanzibar maana OMO ni mtu wa system ilihali kina Duni, Jussa wamepambana miaka na miaka kukifikisha CUF/ACT hapo ilipo!! So sitegemei ku mount challenge yoyote kwa CCM au Chadema.
 
Kwani wangesubiri wakahama ndio wakaandika wangepungukiwa nini? Na wasipohama wakabaki Chadema je?
Wasipohama wakabaki CHADEMA? How is it possible wakati hawapo CHADEMA, walishatimuliwa kitambo(kwa mujibu wa CHADEMA yenyewe).
Media kuandika tetesi ni jambo la kawaida kwani hiyo kwao ni biashara, kinachotakiwa ni kama hawajathibitisha wanachokiandika waweke wazi kuwa hiyo habari ni tetesi ambayo haijathibitishwa.
 
Acheni kujipa ujiko msiokua nao kwamba Chadema inapangiwa na mfumo? Mbona huyo Zitto alitimuliwa na hakuna kitu mlifanya??

Waliondoka kina Slaa na Kaborou ndio sembuse hivi vibinti ambavyo Mbowe amevitoa UDSM havijui kuoga akavipa ubunge??

2020 tulisimamisha wagombea 70 wa kike hivyo tuna reserve ya wagombea wengi sana kureplace kina Mdee na Wala hakuna madhara wataleta.
 
Kama Tanzania daima tu watoto wa shule wanaliita gazeti la kufungia mihogo

USSR
Magazeti ya kufungia mihogo yanayojulikana wazi ni ya Uhuru na Daily News (kama bado yanachapishwa), magazeti mpaka hayauziki wanayagawa bure hovyo hovyo kwa kuwa huandika rubbish, uzushi na propaganda mfu.
 
Pathetic, hizo story mnazodanganyana vijiweni mkishakunywa gongo unazileta JF? Hearsay blah blahs unajitoanazo ufahamu hapo mwenyewe kwa upeo wako unaona umeshusha nondo za maana, bullshit.
 
Ahahahahah! Nina mtoto yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza, halafu unaniita mtoto. Bila shaka wewe una vitukuu! Ahahahahah!

Umri humu ndani kwa hizi fake I'd unapimwa na hoja, kama hoja zako ni za kitoto huo ndio umri wako, hata kama una miaka 100.
 
Halima na wenzake hawana chaguo jingine zaidi ya kwenda ACT au chama kingine cha upinzanj.

1) CHADEMA walikwishafukuzwa, hawatakiwi.

2) CCM aliyewapa ubunge alikwishafariki, na mlinzi wao kafukuzwa uspika, na ndani ya CCM, zile siasa za udikteta wa mtu mmoja zimepungua sana kiasi cha kutowapa uhakika wakienda huko watapata hata nafasi ya kuteuliwa kuwa wagombea wa ubunge.

Lakini kwa vyovyote, nafasi yao ya kuupata ubunge kwa njia halali ni finyu sana.

Kwa upande wa CHADEMA,nafasi yao ya kushinda majimbo mengi ya uchaguzi, hasa maeneo ya mijini, alimradi wawe na wagombea makini, ni kubwa kuliko chama chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…