Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Kukutwa ana jumla ya 3 billions nyumbani kwake na kwenye bank accounts zake kumenishangaza sana. Na huyo ni Mkuu wa Wilaya tu! Sasa imagine yule Makonda ambaye naye inadaiwa alikuwa akipita kwa Wafanyabishara wakubwa Dar kukusanya โ€œpesa ya chamaโ€
Wanyonge walinyongwa kwel kweli.
 
Yan tulipigwa sana ila sema ndio hvyo propaganda zao zilituzipa macho tusione.
Nataman wateule wote wa mwendazake wachunguzwe
 
Wanapatikanaje hao mashahid mbona sijasikia tangazo la kutafuta mashahid?
 
Hatari kama lote
 
Reactions: BAK
Hili JAMBAZI la kimasai halina pa kutokea. Lazima likanyee debe. Kumbe ndio maana mwendazake alipofariki lililia sana kwa kuwa lilifahamika fika mtetezi wake ameondoka maana hata afanye ujinga wa aina gani mwendazake alikuwa anamuunga mkono. Jinga kabisa hili jamaa.
 
Alikuwa mpendwa wa Mwendazake huyo. Una bahati sana haukukutana naye akiwa kalewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nina bahati sana ukimaanisha nini??
Bahati hiyo mbaya au njema!?
 
Hao wanawake wanapoteza muda tu na kujidhalilisha tu. Bora wangeendelea na maisha yao, jinai inahitaji ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ