Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Bwashee, unataka kutuaminisha ukimkuta mwanamke bar unachukua tu, na kwenda kumfanyia ufinyiriru bila idhini yake? Unataka kusema mwanamke kuwa bar ni kosa Kwa hiyo anastahili kubakwa, kama adhabu ya kosa hilo?!Wanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!
Na akawala hapo hapoWanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!
Hicho hicho kigezo cha ukichaa ndio alitumia, umesahau na yeye alijiita kichaa kama yule mpima samaki kwa rula.Hivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Kwa kweli atamkumbuka hata usingizini. Kuna msemo unasema maisha yanayomzunguka mtu hayajui Kama watu wa nje wanavyoyajua. Wengine wanachukulia kutokana na matendo, maneno na maisha anavyoishi na watu.Lema kwa upendo wa dhati kabisa alimpigia simu kumuonya huyo bwana mdogo lakini alimdharau sana.
kwani wanawake wanakatazwa kuwa bar?Wanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!
hata likimilikiwa na mnyika, mradi chanzo chao cha habari ni pccb ambayo haipo chini ya chadema..Hili Gazeti la "Raia Mwema" linamilikiwa na nani?
Kila siku wao ni kuandika habari za Ole Sabaya.
Au Gazeti hili linamilikiwa na Mbowe? Mnaojua tunaomba mtujuze tafadhali.
Angepewa mkoa kabisa teka KLM au ArushaEti kama mwenda zake angekuwepo hadi leo, huyu mtu angeliendelea kubaki kwenye uongozi kama vile hakijatokea kitu, World is not fair at all.
Nae sialikuwa kichaa kama hao aliowateua? Ndege wanao fanana huruka pamoja.Hivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Kwani halihusu siasa hili?Hili tukio la Sabaya CHADEMA mmelivalia njuga, mnalifanya limekuwa kama la kisiasa sana.
CHADEMA mko desperate sana, yaani Mnavuruga kabisa
Kina ruge n co. Washasomewa mashtaka na kesi zao zipo mahakamani.Kuna watu wana miaka wako ndani mbona hamsemi? Rugemarila na Habinder Seth wana miaka mingapi ? Sabaya siku tano tu ukilinganisha na makosa aliyotenda beyond humanity .
Mimi nasimama na sheria kifungu cha 32 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 marejeleo ya 2019, hizo siasa zenu sipo hukoSerikali iliyowashililia kina Tito Magoti, Lema, Lissu na wengine ndiyo hiyo hiyo inamshitikisha Sabaya. Tatizo hili umeliona lini mwenzetu?
Mara ya kwanza aliweka maneno yake tu bila ushahidi wa chanzo cha habariHujaona gazeti hapo RAIA mwema.aise
Hata kama yuko bar bado haki zake ziko palepaleWanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!