Hapana...wanawake wamezidiUshindani umekua mkubwa sana........ wanaume nao wanayaonesha yao kwa speed ya 5G
Kwa kweli amedhalilisha sana.....Na kulawiti wanaume
Kumbe hii ndio source ya elythyte!
HamduniChanzo cha habari?
Wachaga wameingiaje wameaibisha vipi hapa?Wachaga mmetuaibisha Sana
Huyu mwamba ilibidi asifikishe hata siku moja uraiani
Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya ( namba inaweza kuongezeka )...
Sikuzuii kuwaza unachotaka hiyo ni akili yako ila kiletwe chanzo cha habariNimewaza kwa sauti ya chinichiniβ¦β¦...sina shaka wewe ni m'mojawapo wa wale wapambe wake!
Kwahiyo ukimtwanga risasi mtu ukiwa umelewa huna kesi?Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Duuh kazi kweli kweli yani pombe ndio iwe excuse inayokubalika kisheria?Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Yes ni kweli kabisaMkuu hii kesi kwanini iko TAKUKURU na siyo polisi? Kwa maoni yangu TAKUKURU haihusiki hata chembe na hii kesi.
Ukichaa waoHivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Kwi Kwi Kwi
Utakua kama Sabaya ujue
Errrooo meetiii tukuluuu"Shieeee, mbusi kala mamaake"