Raia Namba 1 hata kusema poleni Watanzania tuanze ukurasa mpya, hakuna!

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.

Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.

Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.

THIS IS NOT THE KIND OF LEADERSHIP AND LEADERS WE WANTED.

Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
 
Amefundishwa kuwa risasi ndiyo mpango mzima, waache wapige kelele watanyamaza.
 
Huyu Bibi ni hatari
Zile Clip alizokua anaziona ndio zinazomfanya apate ganzi ya meno kuzungumza mdomo unakua mzito kuomba msamaha jamani nisameheni sikukusudia kuua, hivi nilisikia walisema akalia machozi maana hakuweza kuwafufua wale waliokua wanakufa siku ile au walisema uongo?
 
Awape pole wahuni waliotaka kuleta vurugu nchi hii?

Ruto aliishawahi kuwapa pole wale wahuni waliojiita Gen Z na kuiba Siwa ya Bunge?
 
Mume wa Samia alivyokufa Chadema si mlishangilia?
 
Bibi amesha maliza machozi hayawezi kutoka.
 
We huwezi kumpangia Rais cha kusema, kingine atoe pole mara ngapi acha unafki na ukuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…