Nani anayelilia maridhiano.Viongozi wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe kwa makosa ya kufanya uchochezi na kuwachuuzq vijana kufanya fujo na uharibifu na matokeo yake kupoteza maisha.
Chadema ina paswa ifutwe na msajili wa vyama mara moja. Huwezi kufanya maridhiano na majqmbanzi/wahuni/wahaini
Majanga ya nchi hii yapo ndani ya kichwa chako, lakini kama Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania HATUNA majanga. Nchi inakwenda vizuri tu na atakayetaka kumkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan ATAKWAMA yeye!Nina imani washauri wake wengi wana akili kama zako, ndio maana nchi inaendelea kupata majanga.
Jaribu kufikiri kakàbindiwa jukumu kuwa mlinzi njia panda ya peoni akhera🤔Huyu Bibi ni hatari
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.
Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.
THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.
Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
Hamna mtu mule limebaki picha picha tuUkimuonà vzr kwan yupo sawa?
Unalala unamuuta Samia.Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.
Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.
THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.
Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
Kashasema nguvu iliyotumika ni sawa. Hiyo ndiyo kauli yake.Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.
Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.
THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.
Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
So umeumia sana mwenyewe kwa nini hajatoa pole!Nina imani washauri wake wengi wana akili kama zako, ndio maana nchi inaendelea kupata majanga.
Samia ni Rais wa nchi, kaomba kuchaguliwa mwenyewe.Unalala unamuuta Samia.
Ukiamka unahangaika kujua Samia leo yuko wapi, anafanya nini, kasemaje, kavaaje... Uko busy na Samia kuliko ht familia yako...
Hana kazi ya kufanya ,kijana anaacha kufanya kazi anaona kama Lissu akiingia madarakani na yeye ataanza kupata pesa za bure.Unalala unamuuta Samia.
Ukiamka unahangaika kujua Samia leo yuko wapi, anafanya nini, kasemaje, kavaaje... Uko busy na Samia kuliko ht familia yako...
Kama sina kazi nipe.Hana kazi ya kufanya ,kijana anaacha kufanya kazi anaona kama Lissu akiingia madarakani na yeye ataanza kupata pesa za bure.
Viongozi wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe kwa makosa ya kufanya uchochezi na kuwachuuzq vijana kufanya fujo na uharibifu na matokeo yake kupoteza maisha.
Chadema ina paswa ifutwe na msajili wa vyama mara moja. Huwezi kufanya maridhiano na majqmbanzi/wahuni/wahaini
😅😅Mwanaume anampiga majungu mwanamke😝Kama sina kazi nipe.
nyie mbona hamna shukurani kwa rais samia, alikuja na 4 r akaanza kuzifanyia kazi ghafla mkaanza kumtukana,Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo balozi za Marekani, Uingereza, Norway nk, ina maana wao wana uchungu na Watanzania kuliko Rais wao? Nafikiri wanajiuliza.
Waafrika hatuko hivyo, kwenye msiba huwa tunalia sote hata kama marehemu alikuwa mwizi au jambazi. UTU tunaohubiri kila siku uko wapi.
THIS IS NOT THE KIND OF READERSHIP AND READERS WE WANTED.
Just one tweet 'Poleni Watanzania' was enough to bring joy to Tanzanians
elimu zetu mbali mbali za PAKISTANI ndio zilizotufunza hivyoSamia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii frusa.