Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel


Sawa myahudi, wayahudi wenzio wamekusikia. Ila usisahau umauti upo tu hata ufanye nini utakufa tu.
 
Daaah! Umenikumbusha October 7 hamat walivyowauwa watu zaidi ya mia tatu kwenye tamasha la mziki halafu wakaanza kupiga selfie zile maiti na kuburuza barabarani mtaani.
Doh!

Sijui nicomment nini hapa

Mimi tu leo nimeingiwa na huzuni sana juu ya wapalesitina wema ambao wanaishi kwa kutangatanga wasijue hatima yao kwa sababu ya wapumbavu wachache

Hata hivyo, iko njia kwa Mungu yenye kuletasuluhu juu ya haya

Mungu airehemu hii Dunia aisee
 
Kumbuka siyo wote HAMAS na sio wote waguasi wa HAMAS. Kuwaondoa wote wanakosewa haki yao ya kuishi bila huruma.
Hamas wapambane na idf na usa, wengine waachwe.
Hakuna wa kuachwa maana haohao raia walifanya ugaidi Oct 07,2023 waliingia mpaka kwenye makazi ya wayahudi Wakabaka,wakatesa na kuua watu na wengine mpaka sasa wanahifadhi mateka hao majumbani mwao. Kwa hiyo hawana tofauti na Magaidi wa Hamas washughulikiwe tu maana hakuna namna.!!!!!
 
Unakumbuka ile Oktoba 7 Hamas walivyoua watu, kubaka na kuruka hewani kwa yale mapikipiki? Je umejiweka kwenye viatu vya wazazi wa wale vijana wetu waliopigwa shaba na Hamas?
 
Unakumbuka ile Oktoba 7 Hamas walivyoua watu, kubaka na kuruka hewani kwa yale mapikipiki? Je umejiweka kwenye viatu vya wazazi wa wale vijana wetu waliopigwa shaba na Hamas?
Ni kweli mkuu inauma sana,

Si unajua tena binadamu tumeumbwa na pande mbili

Moyo wa huruma pia Mungu katuumbiia
 
Unakumbuka ile Oktoba 7 Hamas walivyoua watu, kubaka na kuruka hewani kwa yale mapikipiki? Je umejiweka kwenye viatu vya wazazi wa wale vijana wetu waliopigwa shaba na Hamas?

Kama walikua wayahudi weusi ni halali yao kuuawa, japo hakuna ushahidi kama ni hamas wameshiriki mauwaji hayo.

Hata wewe ukienda kusaidi makafiri wa kiyahudi unapaswa kuuawa haraka.
 
Wewe acha kulikomboa-Komba nani amekuuliza kuwa wewe ni mfuasi wa Israel?? Hapa hakuna cha ufuasi wala nini hapa Inatakiwa haki tu.
Oct 07,2023 waarabu walifanya unyama wa kutisha kwa kuua watu wasio na hatia na wewe ulifurahia sana unyama wao huo. Sasa Israel inajibu mapigo wewe unaanza kujiliza liza.

Kama wewe ulifurahia kipindi wayahudi wanauwawa basi hata sasa endelea kufurahi wakati waarabu wanavuna walichopanda Oct 07,2023!,
 
Jamaaaa zaid ya muongo watu wapo ndani ya GAZA unadai wanaama ulokole mzigo kwa Taifa!!!!!!!!!
 
Kama walikua wayahudi weusi ni halali yao kuuawa, japo hakuna ushahidi kama ni hamas wameshiriki mauwaji hayo.

Hata wewe ukienda kusaidi makafiri wa kiyahudi unapaswa kuuawa haraka.
Ndiyo maana nasema wewe ni mjinga na Mpumbavu sana!! Serikali ilitangaza rasmi hao vijana walikuwa kwenye chuo cha kilimo kipindi cha uvamizi wa hamas walikuwa huko lakini ulivyo mjinga na mpumbavu bado unang’ang’ana kuwa hao wayahudi weusi.

Watu wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo mnaoleta Upotoshaji mwingi sana kwenye Jukwaa hili sasa mimi nakuwekea ushahidi kuwa hawa walikuwa wanafunzi kwenye chuo cha kilimo huko Israel na ndicho kilichovamiwa

Najua unachekelea kwa sababu waliouwawa ni wakristo na Hamas waliwaua kwa sababu ya Ukristo wao wangekuwa waislamu Najua wangewateka na baadaye kuwarudisha. Hamas ni magaidi napendekeza wapigwe sana mpaka wachakae!!


View: https://x.com/dumisanitemsgen/status/1846722914533757399?s=61
View: https://x.com/simonateba/status/1736446192416944220?s=61
View: https://x.com/yaelbt/status/1786414747350380566?s=61
View: https://x.com/olilondontv/status/1819147125491749164?s=61
 
Ichi itwayo Israel inaenda kufutika son Iran Wazungu wanawaogopa unategemea nn apo !!!!! Walikuja na Meli wataondoka na Meli.. muwe wapole kondooo waliopotea!!!
 
Hata mimi sjasema wewe unionee huruma kujitambulisha kwangu kwamba ni mwisrael mweusi

Mimi sipo kwenye hayo kwa sasa, najaribu kuuvaa uhusika wa wao kuvamia Israel na kufanya unyama huo na hiki kinachoendelea sasa kwa hao watu wa Gaza

Kama msuluhishi ndio umepewa usimamie wewe, bila shaka utakiri maumivu ya pande zote mbili ndipo uanze kutafuta suluhu

Lakini tunapokuja kwa upande wa Mungu wetu mwenye huruma, unadhani haweki mizani sawa na kuona shida ya viumbe wake kuuwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…