Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Ndiomaana tunasema wafuasi wa dini mna roho za kishetani, huko gaza maelfu ya wanawake, watoto mpaka wazee huku wakinyimwa misaada jje huo ni ustaarabu?Wayahudi ni wastaarabu sana tena mno vita hii wangeimaliza kwa miei miwili tu huruma yao ndiyo mpaka leo magaidi wa Hamas wanaendelea kuwepo!!
Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.Maamuzi ya kijinga ya Hamas yanawagharimu raia wasio na hatia
Sinwari na ndugu yake Hania wameacha msiba mzito na gharika mbaya kwa watu wa Palestinian ila je wajuwa uovu ulianza muda sana na mwisho ule uovu ukaja kuwa zahima kubwa? Yes Sinwari na team yake walihakikisha kila mtu wa ghaza anakuwa chawa na anatii mamlaka kwa mtutu wa bunduki. Yes ukionekana unataka amani na Israel au kataa jambo baya kwa Israel basi adhabu yako ilokuwa kwanza kufinywa na kuchezea mkwaju wa tako mpaka unatepeta... ukitoka una jiona dume jike... wakikuchukia mpaka kaburi. Sinwari na wenzake waliwafanya kitu mbaya watu wa Gaza kulikuwa na kila aina ya dhuluma unachapiwa mke mbele yako au unaliwa tako mbele ya mkeo kiukweli haikuwa rahis wakati mwingine baba aliona baba au mtot aliona wazaz wengine walikufa mbele ya kamera. Ila mwisho ule uovu ukageuka kuwa kiama kwa Palestinian wote na ule msemo ukiona uovu ukauchekea basi lazima siku moja utakurudia. Leo Palestinian wamekufa kama kuku kwa mauwaji ya halaiki ya Israel 1000. Kiufupi kiama cha Israeli hakijawahi badilika na huu ndio ukweli unatisha hakuna dam ya mpalestina alie mwaga dam ya mu Israel itaachwa ishi. Wao na wajukuu zao lazima wafe kwa upanga na hii sio mimi ndio hukumu ya Israel pindi dam yao inamwagwa na sio mara ya kwanza kila alie mwaga dam amelipa na uzao wake jiulize Naz waliishia wapi na Kaburi la Adolf Hitler lipo wapi hapo ndipo utanielewa do not mess with Israel anymore πTako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.
Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!
View attachment 3336132
View attachment 3336132
View attachment 3336134View attachment 3336134View attachment 3336134
Kwanza lazima mgogoro huu si wa kidini!! Toka mwanzo wa vita maelfu ya Maroli yaliyosheheni misaada yalikuwa yakiingia Gaza na ndicho kilichokuwa kinawafanya kivimba maana wanakula wanashiba viburi vinawajaa na ndiyo maa vita vimechukua muda mrefu,Ndiomaana tunasema wafuasi wa dini mna roho za kishetani, huko gaza maelfu ya wanawake, watoto mpaka wazee huku wakinyimwa misaada jje huo ni ustaarabu?
Nyumbani kwetu Kilwa Wamatumbi wana Msemo unaosema βVita si lele-Mamaβ Kwanza kabla ya kuuliza maswali kama hayo lazima ujue hilo vitani si Mchezo mchezo wala hakuna siasa maisha ya watu yanapotea na yakipotea huwezi kuyarudisha hata ufanyeje. Vitani kosa moja tu umekwisha huna nafasi ya kusema tuanze tena.. Hakuna cha ustaarabu vitani usitaarabu vita ikiisha. Usitarajie kuna mtu atakuremba akuchagulie pa kukupiga.Je kuna ustaarabu umetumika kujua yapi makazi sahihi ya kupiga? Na sheria za kimataifa ziko wazi, hairuhusiwi kufanya vita maeneo ya kiraia no matter what je israel kukiuka sheria za kimataifa huo ni ustaarabu?
Huna unalolijua yanayoendelea huko Ukraine πΊπ¦ Majeshi ya ki amigi ya Russia yameharibu karibu miundombinu yote ya kiraia kwenye maeneo mbalimbali vituo vya umeme na Mafuta vinashambuliwa kila leo kuna Mimi ilikuwepo ya Mariupol iliangamizwa kabisa hata Kiev ,Odessa majengo ya kiraia ameangamizwa kabisa raia na mali zao zimeangamizwa wewe tu hujui au unajifanya hujui maana maana haya kila siku yanatangazwa na vyombo vya habari.Katika ustaarabu ni Urusi pekee ndio taifa ambalo linapambana na adui bila kuharibu maisha ya raia wasiohusika na hata inapotokea ajali raia kuguswa basi huwa kwa kiwango kidogo sana tofauti na kinachofanywa na hao Miungu wenu waisrael ambao wanaua maelfu ya watu wasio na hatia.
Soma historia vizuri ili ujue nani raia halisi wa maeneo hayo siyo kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini tu!!?Mgogoro huu hauhusiani na dini zenu zilizowapumbaza akili ili kutetea upande fulani, bali ni mgogoro wa kisiasa uliobase ktk maslahi ya wachache ambao malengo yao ni kumega ardhi yote ya maeneo hayo na kutawala kibabe huku raia halisi wa maeneo hayo kuamishwa kibabe na wengine kuuliwa.
Wewe mwenyewe una chuki za kupandikizwa!! Hujajifunza kusoma historia ya mambo.Enyi wafia dini(Christian& Muslims) jifunzeni kusoma nyakati na kusoma historia ya mambo kabla hamjakulupukia mambo yanayohitaji akili na sio hisia/chuki za kupandikizwa
Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.
Ukiwa mtu usiyeegemea mahaba ya dini na chuki za kipumbavu huwezi kusapoti ushenzi wa muisrael wala hamas, kiuhalisia kwa mtu timamu anaefuatilia habari za mashariki ya kati atajua kuwa kuna maigizo mengi sana yanaendelea, hao hamasi ni watu gani wawe kila eneo? Yaan uuwe raia maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha kutafuta gaidi? Je kuua hawa watoto, wazee na wanawake wasiohusika na vita sio ugaidi?
Dini zimewapumbaza mmerithishwa chuki zisizowahusu.
Someni historia nje ya dini zenu za mchongi muujur ukweli
Hata kama ni Planned ni nani aliyetekeleza unyama huo wa kutisha hapo Oct 07,2023?Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.
Wewe unajitoa ufahamu kwa kujibu liza maswali ya kijinga kiasi hicho!!Ukiwa mtu usiyeegemea mahaba ya dini na chuki za kipumbavu huwezi kusapoti ushenzi wa muisrael wala hamas, kiuhalisia kwa mtu timamu anaefuatilia habari za mashariki ya kati atajua kuwa kuna maigizo mengi sana yanaendelea, hao hamasi ni watu gani wawe kila eneo? Yaan uuwe raia maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha kutafuta gaidi? Je kuua hawa watoto, wazee na wanawake wasiohusika na vita sio ugaidi?
Tulitarajia wewe mpagani na upagani wako utakuwa unajua mambo kumbe bure kabisa hujui lolote pamoja na kujidai kote kuwa umesoma histaria lakini umeonyesha wewe na upagani wako ni ZERO kabisa!!Dini zimewapumbaza mmerithishwa chuki zisizowahusu.
Someni historia nje ya dini zenu za mchongi muujur ukweli
Kama walisapoti magaidi/makafiri wenzao kwanini wasiuawe! Kuuawa maelfu ya watoto, wamama na wazee huko gaza haikuumi ila umeumia kuuawa kwa makafiri wawili tu mkuu, tena hakuna ukweli wowote ule!! Na hamas mpaka wakuuwe basi tambuq ulikua ukishirikiana na makafiri.Ndiyo maana nasema wewe ni mjinga na Mpumbavu sana!! Serikali ilitangaza rasmi hao vijana walikuwa kwenye chuo cha kilimo kipindi cha uvamizi wa hamas walikuwa huko lakini ulivyo mjinga na mpumbavu bado unangβangβana kuwa hao wayahudi weusi.
Watu wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo mnaoleta Upotoshaji mwingi sana kwenye Jukwaa hili sasa mimi nakuwekea ushahidi kuwa hawa walikuwa wanafunzi kwenye chuo cha kilimo huko Israel na ndicho kilichovamiwa
Najua unachekelea kwa sababu waliouwawa ni wakristo na Hamas waliwaua kwa sababu ya Ukristo wao wangekuwa waislamu Najua wangewateka na baadaye kuwarudisha. Hamas ni magaidi napendekeza wapigwe sana mpaka wachakae!!
View: https://x.com/dumisanitemsgen/status/1846722914533757399?s=61
View: https://x.com/simonateba/status/1736446192416944220?s=61
View: https://x.com/yaelbt/status/1786414747350380566?s=61
View: https://x.com/olilondontv/status/1819147125491749164?s=61
Hata kama ni Planned ni nani aliyetekeleza unyama huo wa kutisha hapo Oct 07,2023?
Kwa hiyo unaua watu harafu unaleta kisingizio cha kusema ni β Plannedβ
Waliyataka wenyewe .....walikuwa na utulivu wao wakiishi hivyo hivyo ...........ila kihere here chao cha kuwashwa pa kunyea ndio kilicho waponza mpaka wakaua na watanzania bila sababu..............WAFE TU WAMEYATAKA WENYEWEHujui wameuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu ishirini wakiwa kwenye mahema ?
Huku hawaruhusu maji, dawa na vyakula kuingia Gaza.
..Kwa akili yako ndogo huyo allah wako anaweza kukubali ujinga huo?
Kama unaunga mkono Watanzania waliouwawa huko Gaza basi endelea kuunga mkono kinachoendelea huko Gaza na uache kabisa kulalamika maana kilichotendeka Oct 07,2023 na kinachoendelea sasa hivi ni kilekile!!!Kama walisapoti magaidi/makafiri wenzao kwanini wasiuawe! Kuuawa maelfu ya watoto, wamama na wazee huko gaza haikuumi ila umeumia kuuawa kwa makafiri wawili tu mkuu, tena hakuna ukweli wowote ule!! Na hamas mpaka wakuuwe basi tambuq ulikua ukishirikiana na makafiri.
Hebu rudia taratibu kusoma ulichoandika halafu utafsiri ulikusudia kueleza kitu gani!Ichi itwayo Israel inaenda kufutika son Iran Wazungu wanawaogopa unategemea nn apo !!!!! Walikuja na Meli wataondoka na Meli.. muwe wapole kondooo waliopotea!!!
Usuluhishi mara nyingine si kuweka mizani sawa tu.Kuna kipindi mmoja kati ya wanaosigana anatakiwa aumie,apoteze,ashuke na kujishusha au awe dhalili ili kupata muafaka.Kumbuka:Msuluhishi anatakiwa awatangulie hatua nyingi mbele hao wanaohasimiana kiakili na maono na awe na majibu maridhawa kila hatua.Hata mimi sjasema wewe unionee huruma kujitambulisha kwangu kwamba ni mwisrael mweusi
Mimi sipo kwenye hayo kwa sasa, najaribu kuuvaa uhusika wa wao kuvamia Israel na kufanya unyama huo na hiki kinachoendelea sasa kwa hao watu wa Gaza
Kama msuluhishi ndio umepewa usimamie wewe, bila shaka utakiri maumivu ya pande zote mbili ndipo uanze kutafuta suluhu
Lakini tunapokuja kwa upande wa Mungu wetu mwenye huruma, unadhani haweki mizani sawa na kuona shida ya viumbe wake kuuwana?
Kwani huwa wana majini?Wala sikujua aisee!Tatizo la ndugu hawa katika imani Majini yao yakipanda hata kuandika huwa ni matatizo!!!
Siyo poa kabisaNenda kawasaidie mkuu
πππIla Wayahudi wastaarabu sana. Wanajali sana watu. Ingekuwa sisi tungejitoa tu mhanga hapo hapo hatujali wala nini.
Tafuta mtu mwenye Elimu akusaidie kuandika uelewekeIchi itwayo Israel inaenda kufutika son Iran Wazungu wanawaogopa unategemea nn apo !!!!! Walikuja na Meli wataondoka na Meli.. muwe wapole kondooo waliopotea!!!
Oct 8 tulishauri tukemee vitendo vya Hamas ila baadhi ya wapalestina wakawakumbatia hao Hamas , leo hii Hamas ambao wengi s wapalestina wanasababisha wapalestina wanatesekaHili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.
Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.