Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
π€
Doh!
Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu
Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe
Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi
Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi
Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote
Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa π kama binadamu
Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi
Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!
Mungu Irehemu Gaza
Ungeelewa tofauti ya fikira zetu na mitazamo yetu kwamba hiawezi kulingana, usingenitupia mitusi yote hiyoBwege kweli wewe mfuasi wa Israel how? Unaletea ujinga tu hapa. Watu hatuna ufuasi tunaangalia haki. Wao walianza wacha wamalizwe mbwa kabisa hao. Waliua na kuteka watu ambao hawana hatia. Si wanajeshi. Watoto , wanawake na wazee. Sasa wacha wasome namba. Unajidai eti wewe mfuasi wa Israel. Umeulizwa? Hata ungekuwa mfuasi wa maarabau au tu mayahudi. Watu wanapewa haki yao.
Usipounga mkono unachukua hatua gani?Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.
Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Kama unaunga mkono Watanzania waliouwawa huko Gaza basi endelea kuunga mkono kinachoendelea huko Gaza na uache kabisa kulalamika maana kilichotendeka Oct 07,2023 na kinachoendelea sasa hivi ni kilekile!!!
Ungeelewa tofauti ya fikira zetu na mitazamo yetu kwamba hiawezi kulingana, usingenitupia mitusi yote hiyo
Ungejikita tu kujadili na kujenga hoja bila povu mkuu
Hizo ni Propaganda tu kutaka huruma kwa watu!! Kwani mabomu ya Israel yanachagua watoto tu? Tumia akili yako vizuri!!Mauwaji ya watoto, wazee na akina mama hayajaanza oct 7, tambua hivyo.
Sipati picha wanaouawa na mayahudi ndio wawe katika familia yako!
Ingia manara tv uone, jana tu kama sikosei wanajeshi wauwa watoto 45. Na hapo utasema mabomu ya Israel yanachagua watoto tu!!!!Hizo ni Propaganda tu kutaka huruma kwa watu!! Kwani mabomu ya Israel yanachagua watoto tu? Tumia akili yako vizuri!!
Usiwe mjinga na mpumbavu hizo ni Propaganda tu za kutaka huruma kwa jumuia za kimataifa baada ya wao kufanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023.Ingia manara tv uone, jana tu kama sikosei wanajeshi wauwa watoto 45. Na hapo utasema mabomu ya Israel yanachagua watoto tu!!!!
Allahumma Aamiin.Kiukweli hawa watu wanateseka sana Allah awape subra na asiwanyime malipo ya mateso haya ya rabb.
AminaπππMungu ibariki Israeli
Anafanya utu sana... Yaani Israel ni wema sana unajua hadi Houthis anawapaga taarifaHivi October 7 hamas walitoa angalizo? Mbona Israel kama anafanya utu sana
Endelea hivyo hivyo, ila ukweli utaujuaUsiwe mjinga na mpumbavu hizo ni Propaganda tu za kutaka huruma kwa jumuia za kimataifa baada ya wao kufanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023.
Wewe hujiulizi wakati watoto hao 45 wazazi wao Mama na Baba zao walikuwa wapi? Kwa nini hao hawakufa na kama walikufa kwa nini hawatangazwi?? Au wewe hujui kuwa Magaidi wanawatumia watoto kama Kinga (Human-Shield)?
Hata hiyo manara tv yako Inatumika tu kueneza Propaganda za magaidi ili watu wawaonee huruma kuficha maovu yao waliyoyafanya Oct 07,2023
Magaidi hayajawahi kukukutaniza,bayo hata sio ya kuhurumia hata kidogo,ni kuua hadi panya majumbani mwao,nachukia sana radical muslms ni watu wabaya sana wala sio wakuhurumia hata kidogo.π€
Doh!
Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu
Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe
Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi
Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi
Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote
Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa π kama binadamu
Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi
Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!
Mungu Irehemu Gaza
Inauma sana kunyang'anywa ardhi uliyozaliwa na kupaita nyumbani.Usipounga mkono unachukua hatua gani?
Hamas hata kama ni wapalestina October 7 walikosea sana.Oct 8 tulishauri tukemee vitendo vya Hamas ila baadhi ya wapalestina wakawakumbatia hao Hamas , leo hii Hamas ambao wengi s wapalestina wanasababisha wapalestina wanateseka
Hakuna kitu kama Taifa la Palestina!! Pia tambua Hamas ndiyo Gaza na Gaza ndiyo Hamas. Ili uishi lazima Uunge mkono Magaidi hao usipowaunga mkono unauwawa!!!!Inauma sana kunyang'anywa ardhi uliyozaliwa na kupaita nyumbani.
Wataenda kuishi ugenini maisha yao yote na hawatakuwa na taifa lao milele.
Hii inaumiza sana, ni nzuri kusikia tu lakini isikukute.
Sina hatua ya kucgukua bali nakiri kwenye hili nitakuwa nao popote watakapi pelekwa.
Hatua ya kuwaondoa siiungi mkono, wangewadhibiti HAMAS na kuliacha taifa la Palestina.
Dah.Allahumma Aamiin.
Kwakweli wanateseka sana hawa ndugu zetu