Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

Yani wewe jamaa....Au basi.
 
Kwani hizo activities lazima ziwe za kidini au kigaidi? Je kama ni wizi au espionage?
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi lazima ahusishe na udini, ukichunguza taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu kukamtwa kwa huyo Muirani ni tofauti na udaku aliyoweka kwa lengo la uchochezi na nashangaa sana Moderator wanamchekea sana huyu kiumbe..
 
Nafikiri kuna dini zinafifisha hata uwezo wa kufikiri....sijui sana lakini
Dini zote zinafifisha uwezo wa akili. Psychologists/Neoroscientists wanatakiwa waifanyie research hii phenomenon
 
Khe! Na hakika wewe kweli ni propagandist mwenye roho chafu na nia mbaya. Wewe mtu mmbaya na hatari sana.

Yani mpaka unataka kutia watu chuki humu na kuwagawanya kwa sababu ya propaganda za Marekani. Mbona umeingiza dini? Mwanzo Mimi ni Mkristo.

Na imeniuma sana kuona unataka kuwachafulia jina Waislamu kwa jambo lisowahusu.

Mbona umeandika hiyo kasumba yote? Unapata manufaa Gani?
 
hata wewe una udini umesifia dini moja dhidi ya nyingine huna lolote 😎
 
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi lazima ahusishe na udini, ukichunguza taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu kukamtwa kwa huyo Muirani ni tofauti na udaku aliyoweka kwa lengo la uchochezi na nashangaa sana Moderator wanamchekea sana huyu kiumbe..
Nakuunga mkono. Huyu jamaa ni hatari sana. Naona atolewe. Nyuzi zake zote lazima atie watu chuki. Na pia nimeona yeye Kila mara nyuzi zake zinasukuma propaganda humu. Mimi ni Mkristo na nimihisi uchungu sana
 
Asante sana serikali ..gaidi limedhibitiwa..haya ndio huja kujifanya inajenga misikiti kumbe ndio inafundisha vijana wetu chuki na itikadi kali za kidini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono. Huyu jamaa ni hatari sana. Naona atolewe. Nyuzi zake zote lazima atie watu chuki. Na pia nimeona yeye Kila mara nyuzi zake zinasukuma propaganda humu. Mimi ni Mkristo na nimihisi uchungu sana
Mada zake nyingi habari zinakuwa kweli ila lazima aweke maneno yake binafsi au kuandika heading ya upotoshaji na uchochezi hapo anakosa uadilifu ndio maana mara nyingine naona mods wanabadilisha heading na kuedit nyuzi zake.

Jambo hili ni hatari, linazua taharuki pamoja na kuleta mijadala ya kidini isiyo na faida humu..
 
Sasa idara ichukie mtu mmoja mpaka kumfukuza. Penye ukweli tuambiane tu kuwa mafunzo ya dini ya uislam yana walakini ndo maana ugaidi 80% umeigusa dini ya allah.
wazungu/wakiristo wanao tengeneza misiraha/mabomu wanatengeza kwaajili gani wee pimbi?. mabomu kazi yake nini? kuimbia kwaya kanisani au? bundukije? wee ni pimbi.
 
kama kungekuwa na uhalifu mbona hamjamshitaki na je uhalifu gani kaufanya,? je yeye anasemaje labda hamkuelewana
 
na hisi wewe ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…