raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Nimejaribu tu kuangalia iwapo siasa itaingilia kati suala hiliDu Kumbe hata wewe ni mwoga namna hii? Tukiwa woga namna hii tutazidi kudidimia. Hivi wewe unadhani unaweza kwenda China wakaweka msimamo juu ya jambo fulani halafu wewe mweusi ukawapinga? Watakuua mara moja.
Mkuu wa mkoa alisema atawalinda wanaofungua, yuko wapi sasa?Halafu wanaume wapo wanashadadia eti mpigeni huyo🙆🙆
Ila wanaume wa Dar 😭😭😭
Nzuri kabisa Maki. Naamini mko salama na wapendwa wakoNimepokea salama HS...
Habari za kitambo jamani?
Ile mingumi ya mtu anayekula machalaliNimeona...
Kuna mahali kina Manka tumehusishwa....Sijapenda🤣🤣🤣🤣
Tuko salama wote...Nzuri kabisa Maki. Naamini mko salama na wapendwa wako
🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka sana...Ile mingumi ya mtu anayekula machalali
Sasa hakupiga zile Kun fuu zao?....Huyo dada mwenye kilemba chekundu anagawa mbata si mchezo...
Kono la kushoto limemshika mchina matai, halafu kono la kulia linashambulia kwa mcharazo...
Nimemuona bestie yetu 'H' kavaa kiremba lol binti kiziwiRaia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
View attachment 3025650
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Ni yeye! Ni yeye ! Kwa sauti ya TID mnyama kigogo Warioba 🤣Nimemuona bestie yetu 'H' kavaa kiremba lol binti kiziwi
Don yen wa makaratasi huyuuuKafanyaje Don Yen tena?
Chun li si mthailand yuleChun Li
hawawezi kufanywa chochote bro hiyo inaitwa mob justice unafikiri serikali wajinga wakiwakamata hao wadada utawaka moto ambao kuuzima itakuwa ngumu sana maana wataonekana kama mashujaa unafikiri serikali wao wajinga.Wangekuwa wanampiga mtanzania usingesema hivyo.Oooooh kumbe alikuwa anapata mshale wake wa jicho kama tangazo lilivyo eleza
Ila hao wadada wajiangalie kwa hayo maamuzi waliyo chukua