Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Atakuwa mnyakyusa huyo🤣🤣
Ndio maana nilikuwa naogopa kuoa mnyakyusa infact wana adabu mno hata kwenye ndoa ila ukileta za kuleta atakuheshimu kama mumewe tu anakuacha ila siku akigeuka utaona cha mtema kuni.

Yule mchumba wangu wa Mbeya nampenda hadi leo ila cha ajabu alikuja achana na mumewe kwa sababu hizi hizi hizi
 
Baadae hao kina mama wakiwa nyuma ya nondo msilalamike. Kwa uzoefu wangu hapa serikali ipo macho kupata mmoja wa kumtolea mfano.
Ishu sio hao kutolewa mfano, ila ni wewe uliefanya hao watolewe mfano utaishi vipi hapo sokoni??

Au utafanya biashara na hiyo serikali, sio wote wanataka kugoma ila wengi wamegoma. Sasa wewe muamini chalamila ufungue wakutie mshale wa jicho.
 
Umeshawahi kufika China?
Ukijibu hilo ndio nitakuja na jibu la hoja yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…