Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

Atakuwa mnyakyusa huyo🤣🤣
Ndio maana nilikuwa naogopa kuoa mnyakyusa infact wana adabu mno hata kwenye ndoa ila ukileta za kuleta atakuheshimu kama mumewe tu anakuacha ila siku akigeuka utaona cha mtema kuni.

Yule mchumba wangu wa Mbeya nampenda hadi leo ila cha ajabu alikuja achana na mumewe kwa sababu hizi hizi hizi
 
Baadae hao kina mama wakiwa nyuma ya nondo msilalamike. Kwa uzoefu wangu hapa serikali ipo macho kupata mmoja wa kumtolea mfano.
Ishu sio hao kutolewa mfano, ila ni wewe uliefanya hao watolewe mfano utaishi vipi hapo sokoni??

Au utafanya biashara na hiyo serikali, sio wote wanataka kugoma ila wengi wamegoma. Sasa wewe muamini chalamila ufungue wakutie mshale wa jicho.
 
hawawezi kufanywa chochote bro hiyo inaitwa mob justice unafikiri serikali wajinga wakiwakamata hao wadada utawaka moto ambao kuuzima itakuwa ngumu sana maana wataonekana kama mashujaa unafikiri serikali wao wajinga.Wangekuwa wanampiga mtanzania usingesema hivyo.

Ila na wewe nikuulize hivi mtanzania unaweza kwenda China mfano Guazhou ukafungua biashara kirahisi kwenye Kariakoo yao huko?
Umeshawahi kufika China?
Ukijibu hilo ndio nitakuja na jibu la hoja yako?
 
Back
Top Bottom