NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
hata kwenye kundi la simba mashujaa kuna Simba falaMchina gan anapigwa na mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kwenye kundi la simba mashujaa kuna Simba falaMchina gan anapigwa na mwanamke
hahahaha chips mbaya sana hata wadada wamewashindaHalafu wanaume wapo wanashadadia eti mpigeni huyo🙆🙆
Ila wanaume wa Dar 😭😭😭
Yaani ni huzuni.hahahaha chips mbaya sana hata wadada wamewashinda
Mchina ana fremu Kariakoo??Serikali inawachekea hawa mbuzi wakivunja sheria, hao waliohusika lazima wakamatwe iwe funzo
Ndio maana nilikuwa naogopa kuoa mnyakyusa infact wana adabu mno hata kwenye ndoa ila ukileta za kuleta atakuheshimu kama mumewe tu anakuacha ila siku akigeuka utaona cha mtema kuni.Atakuwa mnyakyusa huyo🤣🤣
Wengi walamba lipsHalafu wanaume wapo wanashadadia eti mpigeni huyo🙆🙆
Ila wanaume wa Dar 😭😭😭
Ungemuoa tu, ni watu wazuri sana ila usiwazingue.Ndio maana nilikuwa naogopa kuoa mnyakyusa infact wana adabu mno hata kwenye ndoa ila ukileta za kuleta atakuheshimu kama mumewe tu anakuacha ila siku akigeuka utaona cha mtema kuni.
Yule mchumba wangu nampenda hadi leo
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
View attachment 3025650
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Siasa zile mjombaMkuu wa mkoa alisema atawalinda wanaofungua, yuko wapi sasa?
Ishu sio hao kutolewa mfano, ila ni wewe uliefanya hao watolewe mfano utaishi vipi hapo sokoni??Baadae hao kina mama wakiwa nyuma ya nondo msilalamike. Kwa uzoefu wangu hapa serikali ipo macho kupata mmoja wa kumtolea mfano.
Raia wa kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo Leo KARIAKOO na kina mama wanyonge wenye Hasira kali
View: https://x.com/OKisioki/status/1805534690570273276?t=yZtJYTPn70h-bZuPEx2PAQ&s=19
#mgomo KARIAKOO
24/6/2024
View attachment 3025650
Kosa la mchina: Kafungua Duka wakati wenzake wamefunga
Kama mwanaume ndo angempiga mchina hivyo kulala Lupango leo kungemhusu ujue.Halafu wanaume wapo wanashadadia eti 'mpigeni huyoo'🙆🙆
Ila wanaume wa Dar 😭😭😭
Ubavu huo hawana.Kama mwanaume ndo angempiga mchina hivyo kulala Lupango leo kungemhusu ujue.
Umeshawahi kufika China?hawawezi kufanywa chochote bro hiyo inaitwa mob justice unafikiri serikali wajinga wakiwakamata hao wadada utawaka moto ambao kuuzima itakuwa ngumu sana maana wataonekana kama mashujaa unafikiri serikali wao wajinga.Wangekuwa wanampiga mtanzania usingesema hivyo.
Ila na wewe nikuulize hivi mtanzania unaweza kwenda China mfano Guazhou ukafungua biashara kirahisi kwenye Kariakoo yao huko?
Hao wachuna wao njaa kali tu, ukiangalia wanakuja kwa kivuli cha uwekezaji ila biashara zao hawastahili kuwa na flemu kwa mujibu wa sheria zetuUmasikini mbaya sana huleta chuki na makasiriko
Kumbe Atoto ni Msukuma🤣🤣🤣🤣
Baada ya kuona wanawake wamemwangusha mchina, nae akajitutumuapo kidogo masikini!
Naunga moja na mbili nakaribia kupata tatuSio kiviiile😂