Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Trump naona atashinda na si chini ya 280. Biden naona hazidi 241 labda itokee swing states anazoongoza Trump zigeuke. Na Biden amebakiza votes 16 tu kwenye swings zake.
Majimbo tajiri yamempigia sana Biden
 
Ila nadhani kwa watanzania ni bora trump ashinde ili bwana pompeo aendeleze harakati zake
 
Majimbo ya Wisconsin, Michigan na Pennsylvania itachukua hadi wiki moja kumaliza.

Hivyo hapa tutegemee ushindi wa taabu sana kwa mgombea yoyote kati ya Biden na Trump.
 
Ni kwa sababu kule hakuna vyama vya upinzani vya kipumbavu kama huku kwenu. mwenyekiti analewa faru john unategemea nini?
 
Majimbo ya Wisconsin, Michigan na Pennsylvania itachukua hadi wiki moja kumaliza.

Hivyo hapa tutegemee ushindi wa taabu sana kwa mgombea yoyote kati ya Biden na Trump.
Trump analalamika wanataka kumuibia.
 
Mtu mwenye historia ya Joe Biden kwa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…