Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

Nyie wenye elimu mmefika wapi na corona?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye mji ninaoishi Mimi Ni miezi 4 sasa sijasikia mtu anaumwa korona Wala kafa kwa korona

Hii gemu ya kiakili

Nyie endeleeni kufanya hayo ya wazungu

Watu Wana ajenda za kibiashara
 
kwaivo kenya tukaacha kutangaza leo corona inaisha gafla ?? ujinga uliopo tanzania ni level nyingine kabisa
Covid 19 doesn't function any more in Tanzania huo ukweli hats nyinyi mmesha ujua na mabeberu wamejua sema mnaona aibu kukubali tu
 
Kumbe wewe bado mzima? I hope hapo ulipo barakoa ipo usoni.

Aisee kuwa makini

Hahaha...!
 
542 DEATHS.
mbona nyie HAMUHOJI KWANINI MNAKUFAA KAMA KUKU
CCM hufaidika sana kuongoza nchi imejaa wajinga kama nyinyi....mko so illiterate hadi vitu zingine hamuezi kuhoji, ni kusifia tu ujinga.sasa naelewa kwanini mwalimu nyerere alisema ujinga ndo adui mkubwa kwa tanzania


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
huo mfano wako haufanyi kazi kiuhalisia labda ndotoni.

maana thana ya kuvaa condom na kujamiiana na mtu usiyejua afya yake inakupa amani sababu huna uhakika tu, ila unajipa hope kwamba huyu ni mzima but sijui, ila ukihakikishiwa ni mgonjwa humgusi hata kwa condom ya bati.

kuhusu hili la corona ni case tofauti, ni ugonjwa wa mlipuko ukiupata ni tabu na maafa.
 
Wakenya wanaofanya kazi Tanzania mjiandae, muda wa vibali ukiisha hautaongezwa.
 

Ndio mfano halisi na hali ilivyo, mataifa tunayoyakaribisha tunaona kwao ilivyo, wanapima corona na kupambana, ila taifa ambalo tumezuia ni aina ya waliogundua siku ya kwanza wana corona, namba zikapandisha ghafla na kufika 504 hiyo siku siku mkulu wao akawa mkali wakaacha kupima tena na kujiaminisha wamepona.
Sasa wa aina hiyo lazima watengwe na dunia.
 
twende tu mtauanika unafiki wenu siku si nyingi.

si unajua tumewashika kengere zenu kwa chini huku!!!

kwa maelezo yako [emoji630] china inafit wapi hapo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama unakubali kuwa corona haina athari sana kwa waafrika na hujui sababu ni nini sasa kinachokufanya ukatae kuwa Tanzania hakuna corona ni nini?
 
twende tu mtauanika unafiki wenu siku si nyingi.

si unajua tumewashika kengere zenu kwa chini huku!!!

kwa maelezo yako [emoji630] china inafit wapi hapo[emoji38][emoji38][emoji38]

Kwanza Wachina ilipaswa tuwakaribishe sana maana wapo makini sana hata kuzidi Wamarekani. Lkini nyie wazee wa kujichokea mtasubiri sana, mnafungiwa na hata na viinchi maskini zaidi yenu huko kusini.
 
Kwahiyo nyie Kenya ndo mnathamini sana watu wenu, juzi tu hapa watu wamekula pesa za msaada wa Vifaa Tiba vya Corona, sasa hapo una thamini nini[emoji23][emoji23][emoji23]

This time we will surely show you who holds the hoe handle
The only hoe handle you hold is your illiteracy ,ignorance and poverty.
 
Soma tena hiyo habari ya BBC uniambie umeona wapi kitu kinaitwa UPDF au kitu kinaitwa kuzuia watanzania kuingia. Au hauelewi maana ya unregulated cross border movement? Hii hata bila corona hairuhusiwi.
 
..soma tena hiyo habari ya BBC uniambie umeona wapi kitu kinaitwa UPDF au kitu kinaitwa kuzuia watanzania kuingia. Au hauelewi maana ya unregulated cross border movement? Hii hata bila corona hairuhusiwi

Hivi mbona mnatumia nguvu nyingi kupaka hizi taarifa sukari na kupindisha pindisha, hayo makala ya BBC yanasema "Ugandan army", hivi kuna "Ugandan army" nyingine isiyo UPDF.

Pili, hamna sehemu nimesema hilo jeshi lipo kwa ajili ya kuzuia Watanzania, ila ni wale hupenda kuingia kinyemela bila kufuata taratibu. Mnapaswa mfahamu corona imebadilisha mambo mengi yanafanyika isivyo kawaida, sio kawaida kwa taifa lisilo na uadui wowote kuweka jeshi mpakani, hiyo kazi ilipaswa polisi, lakini inaonekana mumewazidi ujanja polisi wao.

Uganda walifanya kazi kubwa sana ya kupambana na hiki kirusi, wao walikwenda lockdown ya kufungia kila kitu maana kwamba waliumia kupita maelezo, ndio maana hawapo tayari kurudishwa nyuma na yeyote hata kama unakuja huku ukiwashobokea na kuwaita ndugu, lazima wakupime na hapo wamehusisha jeshi kabisa ili kuonyesha wako serious.
 
Nadhani wanaangalia kwenye COVID 19 kwa wingi ndio waje kwao lengo ni kuwa na waathirika wengi kwa ajili kupata huruma toka juu.

Ni mahesabu tu wanacheza nayo tutegemee by Dec 2020 namba ya wagonjwa ita skyrocket.

Au wanalena kupunguza bajeti kwa wengi wao kufariki bila kufa. Depopulation trick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…