kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sawa ,heading ibadilishwe ,TAIFA la marekani haliwezi kua raia wa namna hiyo.......Huyu mtu sio kwamba hajulikani na serikali,isipokuwa ameamua kutoa msaada lakini asitajwe jina.
Yaani uwe tajiri hivyo halafu serikali na Marekani isikujue halafu bado wapokee msaada wako tena Ubalozini,haiwezekani
hajataka kujulikana mwenyewe. AnonymousSawa ,heading ibadilishwe ,TAIFA la marekani haliwezi kua raia wa namna hiyo.......
Nani amekuambia ni Muislam?Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Na ndo mmiliki wa shule za FEZAHuyu katumwa na yule billionia wa Utruki alietaka kupindua serikali ya uturuki miaka minne nyuma na kapewa taarifa na Urusi, alivyo detect mitambo ya vita inaamishwa, huyu jama anaishi Marekani ni tajiri kuliko maelezo. Analindwa na serikali ya Marekani ilikataa kumkabidhi serikali ya uturuki, ndo chanzo cha ugomvi wa uturuki na US.
Ni lugha gani hiyo?Ria- kujionyesha
Kama hawajionyeshi una ushahidi upi sasa kuwa wanatoa? Na kama hawajionyeshi mbona huyo wamemjua mpaka jinsia yake?Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Sasa tatizo lipo wapi hasa?Duniani tungekuwa binadamu,tunasaidiana hivi,shida,njaa,ukosefu wa ada za shule,chuo,malipo ya hospital,kupeana ajira bila upendeleo,dunia ingekuwa na amani.
Kujionesha au kujitangaza kwa watu kwamba unasaidia mtu,jamii n.k.Hapa umeaniacha, Nini maana ya ria
Dini zote zinataka kuto kujionyesha, sababu kwenye biblia Kuna mistari inakataza hata mkono wako mwingine husione unachotoa.Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Huyo ni Mpakistani anayekaa Marekani tayari ushambatiza ni Muislam wakati wamesema asiyefahamika!Tazama ylivyojipinga mwenyewe.
Ushasema "Ronaldo" , na huyo Mpakistan umeshamjuwa ni nani?
Hiyo ndiyo fauti ya utoaji. Fikiri.
Utawajua kwa vitendo vyao.Huyo ni Mpakistani anayekaa Marekani tayari ushambatiza ni Muislam wakati wamesema asiyefahamika!
Yesu alikuwa muislam? Na Mudi alileta Nini Sasa Kama ndiyo alishushiwa unabii wa dini?Utawajua kwa vitendo vyao.
Hata Yesu Alayhi salaam alikuwa ni Muislam.
Kwa hakika huelewi maana ya neno Muislam.Yesu alikuwa muislam? Na Mudi alileta Nini Sasa Kama ndiyo alishushiwa unabii wa dini?
Wewe una matatizo... Tena makubwaKwa hakika huelewi maana ya neno Muislam.
Kwa maana ya neno Muislam, Yesu alikuwa Muislam kwa sababu neno Muislam maana yake ni ‘mnyenyekea kwa Mungu’ . Kwa hakika Yesu alijinyenyekeza kwa Mungu na kuwanyamazisha wakosoaji wake wote. Kwa hakika Uislam unamaanisha ‘kunyenyekea’...
Sema wewe Yesu alikuwa nani zaidi ya Muislam? Hata neno Mkristo halijuwi.
Ukweli umekuingia.Wewe una matatizo... Tena makubwa
Uislamu hapo unaingiaje hizo hela katoa wapi muuza madawa huyoNdio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Accept nature you'll live happily. Don't try to argue with it. Don't try to will or force it to behave according to your perception, biasennes, assumptions, beliefs, predictions, subjectivity and thinking capability.Duniani tungekuwa binadamu,tunasaidiana hivi,shida,njaa,ukosefu wa ada za shule,chuo,malipo ya hospital,kupeana ajira bila upendeleo,dunia ingekuwa na amani.
Kwa matunda yao utawajuwa.Uislamu hapo unaingiaje hizo hela katoa wapi muuza madawa huyo
kwani uislamu ni nini?Utawajua kwa vitendo vyao.
Hata Yesu Alayhi salaam alikuwa ni Muislam.