DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanyarwanda ni wengi Sana maana wengine wanakuja kama wachungaji yaani ni balaa
 
Kwamba Mtu wa Rwanda anayezungumza Kinyarwanda hawezi kuwa Mtanzania ?, Vipi hawa ndugu zetu wahindi au hao zamu yao haijafika tuanze na hawa kwanza ?

Kama mtu ni muhamiaji haramu basi ahukumiwe kwa kutofuata taratibu ila sio kila muhamiaji ambaye sio wa kabila la Kitanganyika au Zanzibar basi ni Haramu / Sio Mtanzania.
 
Mkui acha ujinga basi, nchi zote duniani zina athirika na uhamiaji harama,sio nchi tajiri wala za uchumi wa kati.
Nchi kama USA,UK,Germany,Denmark,Norway,Sweden na nyingi za Ulaya zipo well off kiuchumi zaidi lakini zinaathurika na uhamiji vipi Tanzania nchi maskini.
Kuwa na wahamiaji wengi katika nchi ina disturb uchumi wa nchi na mbaya zaidi unasababisha matatizo ya kijamii.
Mfano nchi za Ulaya ongezeko la uhalifu linatokana na wahamiaji haramu.
 
Tunapinga Uhamiaji haramu
Mkija kwenye Taifa letu, muwe na vibali kwanini mpite kwenye njia za panya
 
Wasomali nao wamejazana kwa Aziz Ally huku wanamiliki hadi nyumba ni hatari sana warudi kwao vita somalia ishaisha kwann wanang'ang'ania nchini kwetu
 
Mtanzania anayezungumza kinyarandwa na mnyarandwa anayezungumza kinywarandwa lafuzi zao ni tofauti kabisa labda kuwe na exceptional kwa wachache ambao ni watanzania lakini wamekulia huko.
Hata wakurya wakenya waliopo karibu kabisa na Tarime na qwnye muingiliano mkubwa bado wakiongea kiswahili ni tofauti kabisa kwa hiyo ni rahisi sana kimtambua.
 
Eti wabongo wameajiriwa CIA, punguza ushamba brother

Just because umesoma nje, au kupata kazi nje haimaanishi umeajiriwa na CIA, lasi si hivyo kila mgeni anaefanya kazi tz ameajiriwa na TISS

The guy is bright, amefika hapo jitihada na neema za Mungu. He is bright
 
Wenzako wanasikia mtu anaongea kinyarwanda tu wanasema ni spy eti inahatarisha usalama wa nchi. Mitanganyika mingi bado mijinga.

Hoja si lugha ya Taifa flani kuzungumzwa sehemu ya Taifa flani ni kuhatarisha usalama. Sisi watanganyika tunatambua wapo wahamiaji harumu wengi walio jipenyeza na kupata hifadhi. Hii ni kutokana na udhaifu wa idara inayohusika na jukumu la kubaini na kusimamia uingiaji na utokaji wa raiya na wageni.

Kunakipindi wasomali walivamia Serengeti wakiwa na makundi ya mifugo waliwasumbua sana wamasai koo za Tz, japo walikaribishwa na kupewa hifadhi na wakaazi wenyewe. Ilibid iundwe task force katika kulikabili tatizo.

Watanganyika tumelala sana. Somo la Uraiya, Usalama na Utambuzi linapaswa kufundishwa toka ngazi ya msingi kwakuwa walinzi wa kwanza wa Taifa lolote ni raiya wake. Haiwezekani Mgeni anaingia nchini, anapewa hifadhifadhi na wenyeji na anaanzakujishughulisha katika shughuli mbalimbali bila chochote kufanyika.

Hatuna Tanganyika nyingine zaidi ya hii tulionayo. Tunawivu nayo na tutailinda kwa nguvu, jasho na damu.
 
Na Mtu wa Rwanda aliyekuwa Mnyarwanda mpaka mwaka juzi, mwaka huu hawezi kuwa mtanzania either mkazi au raia ?
 
Kuna mmoja humu alitaka watutsi watambulike na serikali ya Tanzania kama makabila mengine yanavyotambulika imagine!

Inaonekana Watutsi ndo wengi kuliko wahutu humu ndani 💀
 
Tunapinga Uhamiaji haramu
Mkija kwenye Taifa letu, muwe na vibali kwanini mpite kwenye njia za panya
Na unajuaje fulani ni Haramu ? Kwa kusikia anaongea au umewaomba vibali wakakataa kuonyesha ? Beware of Persecution sababu hizi zikizidi usishangae ukaanza kuingia kwenye u Xenophobia
 
Na unajuaje fulani ni Haramu ? Kwa kusikia anaongea au umewaomba vibali wakakataa kuonyesha ? Beware of Persecution sababu hizi zikizidi usishangae ukaanza kuingia kwenye u Xenophobia
Hujui uhalisia ulivo
Hawa wahamiaji wapo wengi na vibali hawana
 
Hujui uhalisia ulivo
Hawa wahamiaji wapo wengi na vibali hawana
Najua na hilo lipo wazi ila kuwepo kwao wengi hakufanyi kila mtu wa huko tumuangalie kwa jicho la kwamba ni Haramu, huo sio ustaarabu
 
Najua na hilo lipo wazi ila kuwepo kwao wengi hakufanyi kila mtu wa huko tumuangalie kwa jicho la kwamba ni Haramu, huo sio ustaarabu
Umeambiwa Warwanda wamemiliki ardhi kubwa huko Tabora, ambapo ni kinyume cha katiba Kwa mtu asiye raia kumiliki ardhi Tanzania
Wapo tu kwenye mabaa
CDF alisema wengine wamepenya hadi kwenye nafasi nyeti serikalini
Hali ni mbaya
 
funguka pia maeneo zaidi mkuu.
ukija ulyankulu barabara ya 13 n.k
 
Kigoma imekuwa chaka lao!
Sijajua Taifa langu eidha limeamua kuacha uhamiaji holela au mamlaka zimeshindwa kupambana na wimbi la wahamiaji MI

Warundi na Wanyaru ni wengi sana Kigoma, in fact wao ndio cheap Labor huko kigoma
 
Wahamiaji haramu wanasababisha matatizo gani ya kiuchumi Tanzania??
 
Watu wanaopetea nchini wanapotezwa na wahamiaji haramu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…