Mtusi akipata uraia wa Tanzania kwa kufuata sheria wakati anapewa NIDA yake, passport, huduma za police n.k akiulizwa kabila atajitambulisha kwa kabila gani??Kuna mmoja humu alitaka watutsi watambulike na serikali ya Tanzania kama makabila mengine yanavyotambulika imagine!
Inaonekana Watutsi ndo wengi kuliko wahutu humu ndani 💀
Wakiiachia hiyo ardhi wewe utaweza kuimiliki??Umeambiwa Warwanda wamemiliki ardhi kubwa huko Tabora, ambapo ni kinyume cha katiba Kwa mtu asiye raia kumiliki ardhi Tanzania
Wapo tu kwenye mabaa
CDF alisema wengine wamepenya hadi kwenye nafasi nyeti serikalini
Hali ni mbaya
Ni nani atakayenilipa nikiandika?Andika hapahapa kwa faida ya wengi
Nchi zote zina wahamiaji haramu, Wahamiaji haramu hapa Tanzania wapo kutoka mataifa yote yanayoizunguka, wewe kwa nini umeamua kujikita na Wanyarwanda tu?? Huwaoni Wakongo waliojaa tele Tanzania??Wageni waje na vibali
Huwezi kujua Nia ya mtu
Kama wana Nia njema kwanini wasije kihalali, waingie Kwa njia za panya.
Wanyarwanda wametesa Congo, Burundi na Uganda Kwa kuingiza vikundi vya waasi
Huwezi kwenda Rwanda kirahisi bila vibali
Tuchukue tahadhari
Huu utetezi huuMpelelezwe kwa lipi hasa? Kwa umuhimu gani mlionao? Wabongo waliopo kwenye nchi zao nao ni wapelelezi?
Uhamiaji.waweke namba ya kiwaripoti popote pale raia anapomuona mgeni ambaye unawasiwasi nae. Hii itarahisisha kupatikana kwa wegeni haramu wengi sana.
Uwe unaandika vitu ukiwa na ushahidi sio unaandika kama aliye kwenye kijiwe cha kahawaNi nani atakayenilipa nikiandika?
Nimeomba namba yako ili kurahisisha kiherehere chako cha kuuliza maswali ya kifala.
Weka namba nikuthibitishie, na kama huweki namba basi mtafute mkwewe na afande Mwema akuthibitishie....
Mie sio mtu wa kukusanya vithibiti na kuwapelekea watu wasiowajibika kwa nafasi zao ilhali wanalipwa mshahara.
Siyo raisi hivyo, kunakuwa na call center, ukileta taarifa inapelekwa mkoa / wilaya husika. Alafu watoe fidibaki HQ.Tatizo ni rushwa,utakuta unayemripoti kwao ni mteja wao wa siku nyingi.
Mkuu hukusikia ile ripoti ya CDF? hilo linajulikana mpaka juu.Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.
Wanyarwanda sio wageni waziri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
kila siku serikali za Congo, Burundi na Uganda zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Warwanda kila walipofika wameleta vita na uasi,Nchi zote zina wahamiaji haramu, Wahamiaji haramu hapa Tanzania wapo kutoka mataifa yote yanayoizunguka, wewe kwa nini umeamua kujikita na Wanyarwanda tu?? Huwaoni Wakongo waliojaa tele Tanzania??
Pia huna uelewa hata chembe wa chanzo cha migogoro inayohusisha Rwanda, Congo, Uganda na Burundi.
Huna unalolijua weweNadhani kwa sasa Zambia ndo inatakiwa ilalamike kuhusu wahamiaji haramu... huko Lusaka na Copperbelt wamejaa watanzania, wanyarwanda na warundi. Wapo wengi wasio na vibali. Bongo udhibiti ni mkali sana.
Wewe mpumbavu unanijua hadi useme sina ninalolijua? Ache ungese. Punguza roho mbaya. Kuna kijana wa kitanzania kaondoka hapa mwaka 2019 na kwenda Marekani akajiunga na jeshi. Kwa sasa ni mojawapo ya watu wa kwenye msafara wa Rais. Ukiwa na exposure utapunguza hiyo roho yako mbaya. Maku wewe.Huna unalolijua wewe
Hapa Tanzania Warwanda ni wengi mno
Wanamiliki ardhi, wanazaliana hapa, Watoto wao wanasoma hadi vyuo vikuu na mikopo wanapata, na ajira wanapata serikalini
We mrembo una mimba changa?Wewe mpumbavu unanijua hadi useme sina ninalolijua? Ache ungese. Punguza roho mbaya. Kuna kijana wa kitanzania kaondoka hapa mwaka 2019 na kwenda Marekani akajiunga na jeshi. Kwa sasa ni mojawapo ya watu wa kwenye msafara wa Rais. Ukiwa na exposure utapunguza hiyo roho yako mbaya. Maku wewe.
Kenya ndo wamejazana hatari wanyarwanda, yani kama kasarani streets Nairobi imejaa wao tu kama uko rwandaZamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.
Wanyarwanda sio wageni wazuri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
kila siku serikali za Congo, Burundi Uganda na Msumbiji zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Hapo Kigoma ndio sehemu ya kufikia kwanza kabla ya kuendelea na safari.Kigoma imekuwa chaka lao!
Sijajua Taifa langu eidha limeamua kuacha uhamiaji holela au mamlaka zimeshindwa kupambana na wimbi la wahamiaji MI
Warundi na Wanyaru ni wengi sana Kigoma, in fact wao ndio cheap Labor huko kigoma
mbona watu wenye asili ya kutoka malawi wamejazana kuanzia tegeta kuja huku mbuyuni sala sala na africana mbezi mbona hauoji hiliZamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.
Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.
Wanyarwanda sio wageni wazuri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,
kila siku serikali za Congo, Burundi Uganda na Msumbiji zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Na wewe usiwe mtu wa kusubiri uletewe uthibitisho kama mlemavu wa ubongo.Uwe unaandika vitu ukiwa na ushahidi sio unaandika kama aliye kwenye kijiwe cha kahawa
Eti wabongo wameajiriwa CIA, punguza ushamba brother
Just because umesoma nje, au kupata kazi nje haimaanishi umeajiriwa na CIA, lasi si hivyo kila mgeni anaefanya kazi tz ameajiriwa na TISS
The guy is bright, amefika hapo jitihada na neema za Mungu. He is bright