MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Punguza kiherehere.... utauponzaWe mrembo una mimba changa?
Alienda huko Marekani bila vibali.?
Kwaiyo kwako kuwa na roho nzuri ni kuruhusu raia wa kigeni kuingia nchini bila passport au vibali.
Mbona una makasiriko hv?Huna unalolijua wewe tulia
Malaya wa Kinyarwanda hapo kitambaa cheupe wamepewa wake kujiuza
Kama akili za Watanzania ndo hizi acha CCM itawale MILELEHuyo mbulula alieanzisha uzi kaukimbia...
Mibongo asilimia 90 ni mipumbavu
Elimu mbovu, Mahospitali hakuna huduma, maji na umeme bado ni ndoto...
Wamebaki na ule ujinga wa enzi za nyerere, kuogopeshwa na wageni ni hatari kwa usalama wa taifa
Wakati hapo Kenya wanajielewa kuwa ukosefu wa huduma za jamii ndio kuhatarisha usalama wa taifa ndio maana wanajua kukiwasha......huku kwetu mizobwe ni ujingaujinga mwingi.....
Wewe unaweza kwenda kuishi Rwanda bila vibali au kutambuliwa na SerikaliKama unajua hawawezi pewa kazi nchini nini kinakuuma? Kwanini uliamini maneno ya CDF ambayo hadi leo hayana proof?
Unajua mrwanda au mgeni yeyote akiwa naturalized ana haki zote kama raia wengine?
Wabongo walio wengi including wewe na mleta uzi mkisia warwanda au wakenya mnaloa tepe tepe bila sababu za msingi.
Hawana madhala Kama hao wa pkBora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Tanzania wangeni wanaishi Kwa Raha sana watu wanachopinga ni uhamiaji haram ambao wananyarwanda ndo na warundi wanaonekana wako wengi kulinga na historia na machafuko kwenye nchi zao na hakuna raia wa nchi yoyote wanaofurahia wahamiaji Haram Hilo wakenya nashangaa kwanini umewahusisha hatujawahi kuwa na tatizo na wakenya labda Kwa upande wa wamasai ambao wanachanganyika Masai wa Tanzania na kenyaWabongo wengi hawawapendi sana raia wageni wa Kenya na Rwanda, nafikiri kuna hali fulani ya wivu mbaya dhidi ya hizi nchi. Kila wakati utakapozungumziwa uhamiaji haramu reference kubwa zaidi ni Wanyarwanda na Wakenya.
Hawana akili hao watusiTanzania wangeni wanaishi Kwa Raha sana watu wanachopinga ni uhamiaji haram ambao wananyarwanda ndo na warundi wanaonekana wako wengi kulinga na historia na machafuko kwenye nchi zao na hakuna raia wa nchi yoyote wanaofurahia wahamiaji Haram Hilo wakenya nashangaa kwanini umewahusisha hatujawahi kuwa na tatizo na wakenya labda Kwa upande wa wamasai ambao wanachanganyika Masai wa Tanzania na kenya
Sema mnajistukia tu kama tuwachukia hakuna anayewachukia ni kwamba uhamiaji haram haukubaliki bila kujali mnatokea wapi
Lakini naona umeamua kuwaingiza wakenya ili uonekane relevant
Mzee wewe ni mnyaruanda? Naona wanatajwa wakongo na warundi kama wahamiaji haramu ila naona hujishughulishi kuwatetea, ila Wanyarwanda a unawaka na kupiga kelele kama subaru..!!!!? Je wewe ni mnyarwanda?Mtu kuongea Kinyarwanda hiyo tu inatosha kumfanya mtu kuwa mhamiaji haramu? Hayo ndo madai ya mleta uzi.
Mimi nikiongea Kiswahili London downtown, does that make me an illegal immigrant?
Umewahi kusikia malalamiko ya wabongo against wamalawi, wacongo, wazambia nk zaidi ya kelele against Rwanda na Kenya?
Mzee wewe ni mnyaruanda? Naona wanatajwa wakongo na warundi kama wahamiaji haramu ila naona hujishughulishi kuwatetea, ila Wanyarwanda a unawaka na kupiga kelele kama subaru..!!!!? Je wewe ni mnyarwanda?
Wewe unaweza kwenda kuishi Rwanda bila vibali au kutambuliwa na Serikali
Ukienda Rwanda watakufatilia uso, pua, kimoja n. K
Rwanda huishi au huvamii kama huku kwetu
Kwanini unaingiza WakenyaHaya mimi ni mrwanda what can you do nyie mitanganyika minyonge?
Nionyeshe hiyo comment inayosema warundi au wacongo wanahatarisha usalama wa taifa?
Mitanganyika, kama huyu mleta uzi, huwa inalalamika kuhusu warwanda na wakenya tu ila sio nchi zingine. Hizi nyuzi zipo kibao humu na story mitaani zinazunguka kila mtu anazijua.
Kila mtu anajua wabongo ni wanyonge kwa wakenya na warwanda ni unyonge mliojijengea na kujiona dhaifu ndo maana mnawaogopa na kuona wanahatarisha usalama wenu bila sababu yeyote ile ya msingi.
Kwahio wanyarwanda ni hatari zaidi kuliko majirani wote? Yaani jamaa wanaweza kutusumbua kuliko wengine tuliopakana nao?We ndo mnyoge
Hoja tunapinga Wanyarwanda
Wewe unaingiza Wakenya ili kubalance
Wanyarwanda na warundi ni haohao Burundi na Rwanda kabila kubwa ni Tutsi na Hutu na wanafanana vibayaBora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Kwahio hao jirani wanatuweza? Yaani tumchape mganda atulie ila wao tuwashindwe?Hakika si wageni wazuri
Ukitaka hilo hebu nenda Congo, Burundi, Uganda na Msumbiji waulize kuhusu hao watu