Siku zote kuna unayoyajua na usiyoyajua,usiyoyajua yaache kwa wanayoyajua.
Ulitaka proof uletewe wewe??Wabongo wapo hadi omba omba Nairobi. Malawi, Zambia, Uganda kote huko wabongo wamejaza. USA, Canada, UK kote wabongo wapo.
Mipakani watu kuingiliana ni kawaida. Wamasai, wakurya, wajita, waha, wanyakyusa, wamakonde nk wapo TZ na nchi wanazopakana nazo. Sijui nini Cha ajabu hapo.
Huyo CDF wenu aliropoka hadi Leo kashindwa toa proof hata moja.
Mitanganyika kinachowasumbua ni ushamba na inferiority complex. Mkisikia Rwanda, kanchi kadogo kama ghetto na Kenya mnaloa hapo hapo. Ujamaa uliwapa unyonge wa maisha mmekua kama maboya.
Warundi sio tishio Kwa sasaBora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Wageni wote sio maspy ila wanaweza kutumika muda ukifikaFungueni akili na tafuteni exposure. Mna mawazo mgando sana, dunia ya Leo kuona kila mgeni ni spy ni uzwazwa wa kiwango cha lami na inferiority complex ya juu. Hizi ndo effects za ujamaa bado mnawaza kijima.
Nyie wananyarwanda ndio mnainferiority complex yaani watu kuupinga uhamiaji Haram unaita unyonge uhamiaji Haram unapigwa Hadi na wamarekani wakiongozwa na billionaire Trump na sisi kazi yetu ni kuisanua serikali zidi yenu wanaharamWabongo wapo hadi omba omba Nairobi. Malawi, Zambia, Uganda kote huko wabongo wamejaza. USA, Canada, UK kote wabongo wapo.
Mipakani watu kuingiliana ni kawaida. Wamasai, wakurya, wajita, waha, wanyakyusa, wamakonde nk wapo TZ na nchi wanazopakana nazo. Sijui nini Cha ajabu hapo.
Huyo CDF wenu aliropoka hadi Leo kashindwa toa proof hata moja.
Mitanganyika kinachowasumbua ni ushamba na inferiority complex. Mkisikia Rwanda, kanchi kadogo kama ghetto na Kenya mnaloa hapo hapo. Ujamaa uliwapa unyonge wa maisha mmekua kama maboya.
Ulitaka proof uletewe wewe??
Wageni wote sio maspy ila wanaweza kutumika muda ukifika
Nyie wananyarwanda ndio mnainferiority complex yaani watu kuupinga uhamiaji Haram unaita unyonge uhamiaji Haram unapigwa Hadi na wamarekani wakiongozwa na billionaire Trump na sisi kazi yetu ni kuisanua serikali zidi yenu wanaharam
Wewe ulijuaje kuwa hajapewa??Hata Rais hajapewa mwaka wa tatu huu au wewe unamjua Kiongozi asiye raia wa TZ? CDF wenu aliropoka
AY mwenyewe ni Mrundi tu, huoni lile bichwa lake?AY aje atupe mwongozo.
Sisi kazi yetu ni kuzikumbusha mamlaka kufanya kazi Yao na popote penye viashiria vya jinai na uhamiaji Haram lazima tuzikumbushe mamlaka na lazima tulinde nchi yetu Kwa wivu mkubwa sana hayo ya CDF yawezekana yalishafanyiwa kazi zamani sanaHamjui tofauti ya uhamiaji haram na halali nyie wamatumbi. Mleta uzi kasikia watu wanaongea kinyarwanda kakimbilia kusema ni spies. Mwingine kasema muuza bar ni spy. Huu ni uzwazwa wa hali ya juu.
Kama CDF mwenyewe aliropoka sishangai nyie mkiropoka as well story za vijiweni.
Hata wakiwa wengi kiasi gani kama hawapo kihalali watafukuzwa na mamlaka au kufungiwa hata sisi kama huko kihalali lazima tupige kelele Hilo lakutaka tukae kimya kisa Kuna wabongo wengine wapo nchi nyingine ndo inferiority complex yenyeweKwanini na nyie msiwatumie diaspora wenu? Mbona huko nje hawaitwi spies? Unajua kuna wabongo wangapi nchi jirani hadi huko Ulaya na America? Nini cha ajabu hapo?
Unajitetea sana ili ionekane kuwa ni jambo la kawaida ninyi kuwa hapa nchni, na wakati huohuo si kawaida sisi kuwa nchini mwenu, tunaweza kuwepo nchini mwenu lakini ni kwa tahadhari na taratibu kibao... Ninyi mnaingia tu nchini mwetu...Hamjui tofauti ya uhamiaji haram na halali nyie wamatumbi. Mleta uzi kasikia watu wanaongea kinyarwanda kakimbilia kusema ni spies. Mwingine kasema muuza bar ni spy. Huu ni uzwazwa wa hali ya juu.
Kama CDF mwenyewe aliropoka sishangai nyie mkiropoka as well story za vijiweni.
Unajuaje kuwa Rais hajapewa au ndo inferiority complex inayokusumbua?Hata Rais hajapewa mwaka wa tatu huu au wewe unamjua Kiongozi asiye raia wa TZ? CDF wenu aliropoka
Wakati wao wameshindwa kujikomboa Kwa kikongwe mmoja tu kagame sembuse Kwa jitaasisi kama CCM?Bora wanyarwanda waongezeke ili waje watukomboe kwenye Makucha ya ukoloni wa ccm
Unajionesha wazi huna akili timamuHamjui tofauti ya uhamiaji haram na halali nyie wamatumbi. Mleta uzi kasikia watu wanaongea kinyarwanda kakimbilia kusema ni spies. Mwingine kasema muuza bar ni spy. Huu ni uzwazwa wa hali ya juu.
Kama CDF mwenyewe aliropoka sishangai nyie mkiropoka as well story za vijiweni.
Spies kwa lipi hasa? Kwa umuhimu umuhimu gani au siri gani iliyopo Tanganyika? Huko bar ndo anapata siri za nchi?
Wabongo waliopo nchi jirani hadi huko Ulaya na America nao ni spies? Inferiority complex ya mitanganyika inashangaza sana.