DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Niko mwanza kwa sasa, cha ajabu hapa jirani ninapoishi kuna vijana wengi wa kirundi wamepanga chumba kimoja wanauza mishkaki ile 200/= ,wanajiita eti waha wakati cjawahi kuwasikia hata siku moja wakiongea hicho kiha
 
Usalama wa taifa sijui wanafanya kazi gani sijui aisee
 
Ukienda Rwanda natumaini wapo watz kule hivyo sio ajabu uenda mmiliki wa bar ni mnyaru
 
CCM Hoyeee

Malizia na hiyo
 
Bora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Mkulanga wapo kibao yaani wanadhalilisha Sana waha Hawa jamaa tangu lini muha akauza kahawa mitaani 😂😂
 
Utakuwa ni mmoja wapo, umeongea kwa hasira
 
Huna unalolijua ndo maana unaropoka ujinga
Kwahiyo wewe umemzidi CDF aliyesema Kuna hadi viongozi wa ngazi za juu ambao uraia wao una mashaka?
Wanyarwanda ni wengi hasa Kagera na hawafati taratibu zozote, hapo Dar wapo na hawana vibali
Huyo atakuwa mmoja wanyarwanda wahamiaji haramu. Anajaribu kutuliza mada, anahofia operesheni kimbunga
 
kwa
kwani wanyarwanda si ni waafrika au?
 
Uwepo wa raiya wa kigeni ndani ya nchi si jambo la kuogofya. Tatizo ni pale uwepo wao kutofuata kanuni, taratibu na sheria. Mbaya zaidi wageni hao kutotambulika na mamlaka husiko (wako wapi, idadi yao na wanajihusisha na shughuli gani).

Katika kuimarasha Ulinzi na Usalama katika taifa lolote, mamlaka za nchi husika huweka utaratibu wa kung’amua na kusimamia mienendo ya utokaji na uingiaji wa raiya wake na wageni. Hivyo basi, vyombo vyenye dhaman katika hili inabid ijisahihishe

22-01-2024 katika hafla ya kufunga Mkutano wa Saba wa Mkuu wa Majeshi na Makamanda, Mkuu wa Majeshi Jenerali J Mkunda aliwasilisha kwa Amiri Jeshi Mkuu SSH hofu/hatari ya wahamiaji haramu na wakimbizi kuteuliwa katika nyadhifa za kimaamuzi serikalini na wengine kuajiriwa huku wazawa kukosa fursa hizo.

Ni kweli pasipo na shaka Tanzania Bara(Tanganyika) tumeathirika pakubwa zaidi ya wenzetu (Zanzibar), hii ni kutokana na Chombo kilichopewa dhamana kulisimamia hili kushindwa kutekeleza wajibu wake kikamilifu, yaweza kuwa ni kutokana na kukosa watu sahihi wenye sifa za kuisimamia Idara ya husika kutokana na rushwa, upendeleo au mapandikizi ndani ya Idara.
 
Umenena madini matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…