Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena CCM wa upande wa ZanzibarMuungano ni wa ccm tu na ndio wanaofaidi huo kuungana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena CCM wa upande wa ZanzibarMuungano ni wa ccm tu na ndio wanaofaidi huo kuungana
Mleta mada siyo mjinga, ana uelewa kuwa Tanganyika imemezwa na Tanzania . Nia na lengo la mtoa mada ni kwanini Tanganyika haipewi haki ya kuchagua rais wao Kama Zanzibar ilivyo na haki ya kuchagua rais wao.Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.
Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.
P
Yes, na sio kimataifa tuu, hata katiba ya JMT, rais wa Zanzibar ni almost nothing and nobody kwenye set up ya JMT, ili kumlindia hadhi, rais wa Zanzibar ni waziri asiye na wizara maalum ili aingie kwenye cabinet, baada ya Komandoo Dr. Salmin Amour kupitisha marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010 kwa Zanzibar kujiita nchi, aligoma kuapishwa na kususia vikao vya cabinet yetu, na baada tuu ya kumaliza urais wa Zanzibar, he was grounded!, kama Jumbe!.Kwahiyo Uncle unataka kusema Zanzibar kimataifa inatambulika kama ilivyo mkoa tu wa Morogoro?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Natamani siku moja JF waandae mdahalo kupitia zoom meeting mi nitalipia sina tatizo haswa usiku kuanzia saa 1 tupambane kwa hoja mkuu, nakutamani sn tufanye live.Naendelea kusisitiza mtu ukiwa hujui kitu ni mjinga!, kuwa mjinga sio kosa, dawa yake ni kuelimishwa. Vatican ni nchi, a City State yenye sovereignty. Zanzibar haina sovereignty hivyo sio nchi!.
P
Kwanza huu ni muungano wa hovyo ambao Zanzibar pekee ina nufaika wakati sisi watanganyika tunateseka.Mleta mada siyo mjinga, ana uelewa kuwa Tanganyika imemezwa na Tanzania . Nia na lengo la mtoa mada ni kwanini Tanganyika haipewi haki ya kuchagua rais wao Kama Zanzibar ilivyo na haki ya kuchagua rais wao.
Ukirejea tume ya jaji marehemu Kisanga na tume ya rasimu ya katiba zote zilizungumzia kuhusu uwepo wa serikali tatu, tume ya Warioba ulienda mbali zaidi na kusema ni heri watanganyika wakapewa serikali yao kabla ya kuidai serikali yao.
Hayo maoni ni mwanzo mwishowe itafika wakati wataidai kwa nguvu hapo ndio utabiri wa tume ya Warioba utatumia.
Good ideaNatamani siku moja JF waandae mdahalo kupitia zoom meeting mi nitalipia sina tatizo haswa usiku kuanzia saa 1 tupambane kwa hoja mkuu, nakutamani sn tufanye live.
Ukombozi unakaribia.....Muungano ukianza kulalamikiwa na Watanganyika basi ujue unaelekea mwisho.Natamani siku moja JF waandae mdahalo kupitia zoom meeting mi nitalipia sina tatizo haswa usiku kuanzia saa 1 tupambane kwa hoja mkuu, nakutamani sn tufanye live.
Ni kwa sababu huu Muungano wa kidwanzi wa changu changu, chako changu unatuchosha Watanganyika.Mbona ghafla ....
Wewe tuu!, kwani if ni nani?, ni mimi na wewe, na yule na yeye, it's user generated content, ukitaka chochote, unaanzisha. Pendekeza tuu, mimi niko available all the time!.Natamani siku moja JF waandae mdahalo kupitia zoom meeting mi nitalipia sina tatizo haswa usiku kuanzia saa 1 tupambane kwa hoja mkuu, nakutamani sn tufanye live.
Zanziba sio nchi,zanziba ni kama Palestine ni mamlaka ndani ya nchi mfano nijibu,Nani waziri wa Mambo ya nje wa zanziba? Je zanziba ana uwakilishi namba ngapi huko UN?Acha kuchekesha mkuu!
Zanzibar siyo nchi wakati ina raia wake, Bunge lake na mawaziri wake?
Zanzibar siyo nchi wakati ina wimbo wake wa Taifa?
Zanzibar siyo nchi wakati ina bendera yake?
Zanzibar siyo nchi wakati hata plate namba za magari ya huko ni tofauti na ya magari ya Tanganyika?
Zanzibar siyo nchi Mtanganyika hawezi kuvusha mzigo bila kutozwa Kodi "mpakani"?
Zanzibar siyo nchi wakati Mtanganyika hawezi kuendesha gari huko bila kibali maalum?
Zanzibar siyo nchi wakati Sheria zozote zitakazotungwa Tanganyika hazina mamlaka Zanzibar mpaka zitakaporidhiwa na Bunge la Zanzibar?
Zanzibar siyo nchi? How?
Wewe unaijua Zanzibar kuwazidi Wazanzibar ambao kote waendako wamekuwa wakijitambilisha kuwa nchi yao ni Zanzibar?
Nakuunga mkono mkuu.Lete definition(english na swahili) ya hapa acha kujificha hapa(Sovereignty refers to the supreme authority and power that a state or a political entity possesses to govern itself and make decisions within its own territory without interference from external sources.) Mkuu hapo Zanzibar inakosa kitu gani? acha kudanganya watu
Kabisa!Ndiyo sababu tunataka serikali tatu, ili Tanganyika nayo iwe na kila kitu chake kama Zanzibar, ili kuweza kutetea na kulinda rasilimali zake, siyo zinachumwa tu kama hazina mwenyewe.
Kama hamtaki serikali tatu, ni bora kuvunja huo muungano wa kinyonyaji
Ni mjinga tu ndo atabishia kuwa zanzibar sio nchiMtu ukiwa hujui kitu fulani, ni mjinga!, mtu kuwa mjinga sio kosa, kwasababu kutokujua kitu fulani sio kosa, ukiisha julishwa, ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.
Ili nchi kuwa taifa, sio eneo, sio rais, sio bendera, sio wimbo wa taifa, nchi kuwa taifa ni kitu kinachoitwa sovereignty, dola!, Zanzibar haina sovereignty, sio dola!. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndio yenye sovereignty, yenye dola, yenye vyombo vya dola, yenye sarafu, Zanzibar ni jina tuu, la nchi lakini sio nchi, na rais wa Zanzibar ni rais jina tuu wa sehemu inayoitwa Zanzibar lakini kimataifa sio rais, rais ni mmoja tuu, rais wa JMT na nchi ni moja tuu, JMT, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT!.
P
Umemjibu kitaalam kabisa mkuu.Lete definition(english na swahili) ya hapa acha kujificha hapa(Sovereignty refers to the supreme authority and power that a state or a political entity possesses to govern itself and make decisions within its own territory without interference from external sources.) Mkuu hapo Zanzibar inakosa kitu gani? acha kudanganya watu
Baada ya kumchukia Mwalimu, utachukia wazazi wako mwenyewe!Mwalimu namchukia sababu ya kutuunganisha na Zanzibar na kutuachia katiba mbovu sn
Wakijibu unitagCCM tunaomba kujua faida ya muungano kwa sisi watanganyika, mana tusije tukawa tunadai Tanganyika yetu , kumbe ndani vitu vitamu tunafaidi,
CCM tunaomba mtuambie Zanzibar inachangia kiasi Gani katika maendeleo ya Tanganyika au ndo ivyo tunawalea wazanzibar.
Naomba kuheshimu maoni yako, ujinga ni kutokujua, hivyo mtu yoyote anayedhani Zanzibar ni nchi, ni mjinga kwa kutokujua kuwa Zanzibar sio nchi kwasababu haina sovereignty na haina dola!. Wale majeshi yake ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ, sio majeshi!, wale ni migambo tuu!. Zanzibar haina polisi, haina jeshi, haina sarafu, haina sovereignty!. Sio nchi!.Ni mjinga tu ndo atabishia kuwa zanzibar sio nchi