Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Waliwahi waomba waingie kwenye Muungano?

Kwa kuwa nyie ndio wenye shida lazima mfuate matakwa Yao.
 
katika huu Muungano ilitakiwa Tanganyika iwe na katiba na utawala wake hali kadhalika nayo Zanzibar.

Rais awe ni mmoja tu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ila Tanganyika na Zanzibar zinaweza kuwa na viongozi wao wakuu lkn si ma Rais.
Muhimu ni kuweko kwa usawa kwa kadiri wananchi watakavyoamua na si kama ulivyo sasa kwa huu Muungano ambao ni matokeo ya maamuzi ya watu wawili.
 
Wa
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Watafurahi sana tu. Maana muda wa kwenda msikitini wakati mwengine wapo vituo vya kupigia kura
 
Naomba kuheshimu maoni yako, ujinga ni kutokujua, hivyo mtu yoyote anayedhani Zanzibar ni nchi, ni mjinga kwa kutokujua kuwa Zanzibar sio nchi kwasababu haina sovereignty na haina dola!. Wale majeshi yake ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ, sio majeshi!, wale ni migambo tuu!. Zanzibar haina polisi, haina jeshi, haina sarafu, haina sovereignty!. Sio nchi!.
P
Vikosi vya Zanzibar siyo Jeshi ni migambo tu😃

Unamaanisha nini mkuu? Zanzibar haina Jeshi? Kwani hujui kuwa hata Mgambo nao ni "wanajeshi"?

Unajua anayewafunza mgambo?

Unajua kuwa na ng'ambo nao wanapinga saluti?

Kama ulikuwa hujui, Vikosi vya SMZ ni Jeshi la Zanzibar.
 
Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.

Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.

P
Umeelezea mengi,nikajua utajibu swali la mleta mada
Mwishoni ukarudi pale pale kwenye swali la mleta mada
 
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Sijui Zanzibar..sijui Tanganyika.....sijui Tanzania...sijui blah blah

Who cares about those pieces of shitty holes?

All are managed like shit by CCM...who cares?

Aint nothing left,fvck em all.

Just tafuta hela achana na huu ufala wa kulilia upumbavu managed by CCM and bure politicians
 
Acha kuchekesha mkuu!

Zanzibar siyo nchi wakati ina raia wake, Bunge lake na mawaziri wake?

Zanzibar siyo nchi wakati ina wimbo wake wa Taifa?

Zanzibar siyo nchi wakati ina bendera yake?

Zanzibar siyo nchi wakati hata plate namba za magari ya huko ni tofauti na ya magari ya Tanganyika?

Zanzibar siyo nchi Mtanganyika hawezi kuvusha mzigo bila kutozwa Kodi "mpakani"?

Zanzibar siyo nchi wakati Mtanganyika hawezi kuendesha gari huko bila kibali maalum?

Zanzibar siyo nchi wakati Sheria zozote zitakazotungwa Tanganyika hazina mamlaka Zanzibar mpaka zitakaporidhiwa na Bunge la Zanzibar?

Zanzibar siyo nchi? How?

Wewe unaijua Zanzibar kuwazidi Wazanzibar ambao kote waendako wamekuwa wakijitambilisha kuwa nchi yao ni Zanzibar?
Paskali kapuyanga Sana[emoji2]
 
Ni mtu MPUMBAVU,ZEZETA,TAHIRA,ZWAZWA &
MJINGA ambaye anasema Zanzibar siyo nchi,huwezi kusema Zanzibar siyo nchi kisa inakosa kitu inaitwa "SOVEREIGNTY".
Duh...!. Naomba kuheshimu mchango wako, huku nikielewa Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojifahamu!. Japo ukichaa uko ndani ya akili ya mtu, ila kupitia maandishi, ukisoma tuu, unaweza kujua mwandishi ni kichaa!. Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
 
MUUNGANO FEKI
UVUNJWE TUANZE KUUNGANA UPYA.

samahani hicho ni kichwa cha habari.
Labda naota au, au daah....
 
Mtu ukiwa hujui kitu fulani, ni mjinga!, mtu kuwa mjinga sio kosa, kwasababu kutokujua kitu fulani sio kosa, ukiisha julishwa, ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.

Ili nchi kuwa taifa, sio eneo, sio rais, sio bendera, sio wimbo wa taifa, nchi kuwa taifa ni kitu kinachoitwa sovereignty, dola!, Zanzibar haina sovereignty, sio dola!. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndio yenye sovereignty, yenye dola, yenye vyombo vya dola, yenye sarafu, Zanzibar ni jina tuu, la nchi lakini sio nchi, na rais wa Zanzibar ni rais jina tuu wa sehemu inayoitwa Zanzibar lakini kimataifa sio rais, rais ni mmoja tuu, rais wa JMT na nchi ni moja tuu, JMT, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT!.
P

Paskali unazeeka vibaya,
Unatwambiaje znz Haina sovereignity wkt kimataifa inatambulika Kama nchi inayojitegemea
 
CCM ni ya Wazenji kwa zama hizi hivyo ni faida kwenye chaguzi za Sisiemu hiyo hoja yako sahau kabisa. Kinachoangaliwa ni ushindi tu hata kula wakipiga warabu wa Qatar ilihali ni wana CCM basi hapana shida.
 
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Hata ardhi ni Kwa wazanzibar tuu
 
Umeongea vizuri sn, ni mjinga pekee anaweza kusema Zanzibar siyo nchi na wakati ina kila kitu chake, kwanza muungano uvunjwe haraka
Acha kusifia ujinga wewe! jaribu ku' google "criterias of statehood under international law" ujue nchi inatakiwa kuwa na sifa gani.
Hizo sifa mnazozieleza hata Palestina wanazo, lakini wameshindwa kutambulika kama nchi nchi, halafu unajiita Benjamin Netanyahu! hii tabia yako ya kujinasibisha na ukristo wakati elimu yako ni ya madrassa, acha mara moja!
 
Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.

Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.

P
Hivi wewe jamaa hizo fani zako za uandishi na uanasheria umezipata wapi mbona nakuona unabwabwaja tu kama mtu aliyetoka kuota ndoto za kutisha! Eti alaumiwe Nyerere! Wakati unajua huyo Nyerere ameshakufa lakini sio kama ameondoka na akili zetu zote.
Huu Muungano haueleweki hata mfumo wake mara utasikia serikali ya Tanganyika ipo ndani ya serikali ya Muungano sasa unajiuliza ikiwa ndiyo hivyo ina maana Rais wa JMT akiwa Mzanzibar automatically anakuwa pia ndiye Rais wa Tanganyika sasa tujiulize Mzanzibar anakuwaje Rais wa Tanganyika wakati yeye si Mtanganyika! Kwa sababu yeye Utanzania wake unatokana na Uzanzibar wake na hiyo haimfanyi kuwa Mtanganyika moja kwa moja na ndiyo maana hata wao Wazanzibar hawaruhusu mtu asiye Mzanzibar kushiriki mambo yao,sasa hilo kama watu wazima tunashindwa kukaa na kurekebisha hizo kasoro zilizopo kwenye muundo wa Muungano wetu hadi tuseme aah tumlaumu Nyerere tu,kwani Nyerere ni zindiko tuseme tukiligusa tu tutapata matatizo na hata ingekuwa hivyo huo ungekuwa ni ushirikina, Je tupo tayari kuabudu mazindiko na mizimu ya Nyerere?
Watanganyika tuendelee kupaza sauti kurekebisha muundo wa Muungano kwani muundo uliyopo ni wa ovyo kwa sababu hata huyo Rais unayemuita wa Muungano hana mamlaka yoyote upande wa Zanzibar hawezi kumwajibisha hata mtendaji wa mtaa labda akamchongee kwa Rais wa Zanzibar na Rais wa Zanzibar akikataa kumwajibisha huyo mtendaji huyo Rais wako unayemuita wa Muungano hana la kufanya.
Sasa anakuwaje Rais wa Muungano ambaye hana mamlaka upande mmoja wa Muungano.
 
Hakuna serikali ya Tanganyika wala Raisi wa Tanganyika, Ashukuriwe au alaumiwe Nyerere. Wazanzibari wana haki ya kumchagua Raisi wa Tanzania, kwa sababu nao ni sehemu ya Tanzania.
Nyerere sio Mungu kwamba alichokileta yeye hata kama hakitufai tuendelee kuking'ang'ania ,muungano kwa ufupi haufai na ipo sku utavunjika sio kwa serikali hii
 
Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.

Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.

P
Acha kupotosha watu wewe yule Mwinyi wa Zanzibar ni mbunge au rais ? Kama Zanzibar ni sehem ya Tz kuna nchi ina marais 2? Huu ni upuuz na huu ni muungano wa hovyo haijawahi kutokea
 
Bandiko hili ni kielelezo cha uhitaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa Watanzania wenzetu!. Watu wenye ufahamu na hili watamuona mleta mada kama ni lijinga fulani, kumbe huu ndio uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu, ni wajinga tuu kwa kutoelewa. Dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT, ina rais mmoja, rais wa JMT ambaye anachaguliwa na Watanzania wote.
2. Tanzania ina uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania, hivyo Watanzania wote wana haki sawa ndani ya JMT, ikiwemo haki ya kupiga kura, na haki ya kugombea.
3. Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja yenye sehemu mbili, Tanzania bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Zanzibar.
4. Tanzania bara haina utawala wake wa ndani, hivyo rais wa JMT ndie rais wa nchi anayechaguliwa na wote, lakini Zanzibar inao utawala wake wa ndani, seclusion, na rais wake, rais wa Zanzibar ambapo ni Wanzanzibari wakaazi pekee ndio wenye haki ya kuchamchagua rais wa Zanzibar.
5. Baada ya muungano wetu adhimu, Tanganyika ilikufa na kugeuka Tanzania, ila Zanzibar iliendelea kubaki sio kama nchi bali ilibaki kama sehemu ya JMT inayojitegemea.

Hivyo Wanzanzibari wote ni Watanzania na wana haki zote za kumchagua rais wa JMT ila wenye haki ya kumchagua rais wa Zanzibar ni Wazanzibari pekee!.

P
Kaka elimu ya uraia kwa kiwango kikubwa huwa inapatikana shuleni katika level tofauti, napata mashaka kidogo na hawa wadau kama ni Watanzania wenzetu, kwa kuwasaidia nimewaambia watafute 'criterias of statehood under internatioanal law' itawasaidia!
 
Back
Top Bottom